@gee.lazaro: #swahilitiktok #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #foryoupage #viral

𝓑𝓵𝓮𝓼𝓼𝓮𝓭 𝓖𝓮𝓮
𝓑𝓵𝓮𝓼𝓼𝓮𝓭 𝓖𝓮𝓮
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 13:07:54 GMT
54626
3227
1020
84

Music

Download

Comments

romylee0802
Itc_rosie :
Nisnge date na cosmas Paul mathias ni kitu nacho jutia sana[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-09 16:25:44
3
misschui3
maria lepodi :
kutoa bikra yangu
2026-09-07 14:20:46
462
pretty.angel0488
pretty angel🌹🌹🌹 :
kosa la kupoteza muda shuleni
2026-09-09 17:45:32
139
merrysifuni
mele sifuni :
kutoa mimba 😭😭😭
2026-09-09 11:47:24
187
bossbeib1
bossbeib1 :
Kudate na mwanaume ambae hana hela nikamvumilia now ananiona mshamba
2026-09-09 17:42:21
67
jojopink2112
J❤️ :
I wish niongee kwa voice🥹🤦
2026-09-10 17:15:16
0
salomenkilila
peace :
akiii ingewezekana yooooh walah nsingejihusisha na kitu kinachoitwa mapenz never 👌
2026-09-10 14:22:55
0
user7138267832758
🦋 rizzo🦋🩷 :
kujihusisha kwenye mahusiano
2026-09-08 12:04:32
126
themask_2003
themask_2003 :
ninge jifunza fx since secondary
2026-09-10 14:50:33
0
vinarlee
vinalee🥰 :
kuzaa na mwanaume niliyezaa nae mtoto wangu wa kwanza maana huwa spend mawasiliano nae na inabd niwasiliane nae sababu ya mtoto,,,,nikipata pesa za maana ntalea mwenyewe atatuona ukubwan
2026-09-10 12:08:57
15
mamuhhamis205
Mamuh Hamis :
kudate kuchanganya kaka wawil
2026-09-09 13:08:05
0
briellajacob6
brielle 🤭😏 :
kulala darasani mda wenzangu wanajisomea
2026-09-08 13:05:02
72
h006591
elka :
nimama kunituma sumu ya panya nilijua inaua panya tu kumbe mama alikoroga akanywa na akafariki sikujua nilikua mdogo kama ningerudisha mda nyuma nisingeenda kununua mm😭😭😭
2026-09-09 12:52:51
89
mbduse
ozalima💃💃🥰 :
nisinge mvulia mwanaume nguo ningejitunza😭
2026-09-10 13:07:10
6
mgwani_malume
Ferdinand cheor :
kumpenda mtu ambae badae ndiye angenipa maumivu na sitaman hata kuonana nae
2026-09-07 14:07:36
91
n.o.n.o.h1
Nonoh12 :
Kuamini watu niliowapenda san ….can’t explain😭😩
2026-09-08 13:23:44
47
pilot.076
pixel🤟 :
ningepambana kutibia mama angu asifariki Kwa sababu ya kukosa pesa za matibabu
2026-09-10 06:38:13
6
lizzydony
babelizzy :
kumwamini mwanaume
2026-09-08 12:03:09
7
luxury53765
luxury❤️🍁 :
nilichogundu watu umu wanateswa sana na mapenzi 😂
2026-09-08 05:46:52
19
nolineee28
🥰Brizzy :
Mungu atupe watu sahihi katika maisha yetu🙏🙏
2026-09-09 20:48:36
10
gloriarobert435
Laylat😍 :
mpaka sasa nisingetaman kufuta kosa lolote Kwa sababu hayo makosa ndo yamenifunza na kuniimarisha mpaka sasa nachomshukuru mungu Kwa kunifundisha kupitia makosa yangu
2026-09-08 23:04:30
50
bimzuri27
Ma Mzuri🦋🥀 :
kuwaamini watu na kuwasaidia 🙌🙌tena kumuweka mtu karibu yangu na kumfanya kuwa rafiki na kumuamini😭😭MUNGU NIONDOLEE ROHO YA HURUMA NIMECHOKA😢😢😢
2026-09-10 10:28:25
18
its.merry58
nyakyusa🦋 girl 🥰💜 :
kutoa mimba😭😭😭😭😭😭🤲
2026-09-10 10:24:03
10
floragoodruck
Lilly❤❤ :
KUOLEWA😥🥺🥺🥺
2026-09-08 15:24:48
53
To see more videos from user @gee.lazaro, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About