@pilimndengestan: Nilichogundua watanzania tunasubiri mtu aaanguke tumchekee,Unamcheka mtu alielinda marinda yake kurudusha mpira kwa kipa na kuja kuanza upyaaaa #foryou #tiktoktanzania #swahilitiktok #daressalaam #zanzibartiktok
Pili de mayo ❤🦀🦀
Region: ZA
Monday 07 September 2026 13:08:42 GMT
Music
Download
Comments
reytorreslanda :
wamechoka bwanaaaa🤣😂😂😂
2026-09-08 05:09:16
18
Fatuma mbwana :
Nikupenda bure dada🥰
2026-09-07 21:59:26
8
Palestine power :
mimi bado niko sauzi na maisha yangu poa tuu
2026-09-08 02:32:00
5
Bint seiph :
yani dada wawatu kuongea hawezi lkn kawajibia ndg zetu walio rudi m/mungu awatie nguvu wote walio rudi na walio baki
2026-09-08 06:04:26
14
memyselfandi :
wambie dada
2026-09-08 07:26:21
1
jane :
South tupo na tunatamba nayo
2026-09-09 11:15:23
0
Jayson MacMillan :
Waambie dadaangu wanatuchukia Sana sisi tunao tafutia South Africa 🇿🇦
2026-09-09 11:02:46
0
Angel Melek :
ukweli mtupu dada mwenyewe natamani kuja huko ila sijui pakuanzia bongo misoto sana na miyeyusho sana
2026-09-08 14:45:58
0
Tim Jasiri :
Waambie dada watuache tupumue
2026-09-08 10:05:22
1
nundasela03 :
Asante kwa kusimamia ukwèli
2026-09-08 20:00:24
0
ali hd :
Mie ata sijafaham kwakweli, sijapata point kabisa it means sijapata hasa content ya unachokiongelea
2026-09-08 09:07:24
5
DOPPLER HAZT {HZ} :
lakini simnajijuwa kabisa.
2026-09-08 09:13:59
0
livian waziri :
asante..saaan..dada
2026-09-08 18:51:41
0
Mussa Killo :
😅🤣miezi mingapi?
2026-09-08 16:26:24
0
Fetty Wa Chelsea :
dada kama dada
2026-09-08 08:00:39
1
Kelon :
Bora useme ww dada angu riziki anatoa mwenyezi Mungu. Hatuna chakupoteza hapa duniani.
2026-09-08 11:43:31
0
doli wa faa :
kweli tunatakiwa kuwapa moyo
2026-09-08 08:51:23
0
Chris :
Me nashindwa kuwaelewa
2026-09-08 11:17:40
0
memyselfandi :
wanacharazia Vibaya yaani
2026-09-08 07:26:38
1
MAMA TAMU💕 :
Umemaliza dada🔥🔥
2026-09-08 06:51:38
1
𝑪𝑯𝑳𝑬𝐒𝐎 𝑪𝑯𝑳𝑬𝑴𝑩𝑨🏂 :
ʏᴇs ᴍᴀᴍᴀ ᴀɴɢᴜ ɴᴀᴋᴜᴘᴇɴᴅᴀ sᴀɴᴀ ᴜᴊᴜᴇ🤟
2026-09-08 08:15:58
0
🧿🌸husna 🍎 :
Da pili nataka na mimi nije huko🥺
2026-09-08 06:06:05
4
sabrina :
2026-09-08 07:42:13
1
To see more videos from user @pilimndengestan, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.