Does it apply the same kwenye mazoezi? A day without mazoez yani sijiskii vizuri
2026-09-07 20:49:02
3
Onspotjr :
nimeacha leo[Sad]...
2026-09-07 20:32:58
3
phymon :
Acha kutuchosha bhn kila mt atakufa saw eh
2026-09-08 13:43:54
3
mosani mitumbaTZ :
punguza ushauli kila mtu ana chaguo la maisha yake
2026-09-07 23:14:54
4
c e o :
sawa bro lkn mm sna 90 k sasa
2026-09-07 19:51:16
0
purity mlakezonia :
bro sindano mwanzo wakati naanza kukuskiliza nilikuwa napata hasira na comment shit ila slowly nilikuelewa sinywi pombe namuda sanaaa sinywi soda thank speech zako zina saidia
2026-09-07 19:28:53
8
makire :
baba ako mfundi maisha yangu aya kuusu
2026-09-08 01:30:31
1
Khalifa Kim :
ni content lkn n,i ukwel ambao hat mm nafikiria hvy 😁😁😁
2026-09-07 15:50:33
0
Rodney Aduol :
Ambassador Good Job Sir.
2026-09-07 20:42:47
1
liamsno13 :
Nishapoteza wengi wanaonipenda 😂😂
2026-09-07 18:18:50
1
P.o Aman Mushi :
mmmmmmmmhhhh
2026-09-08 13:55:24
0
G.ger :
sure
2026-09-08 17:31:53
0
Ibraah Nation :
kaka linki ndoiko API kaka
2026-09-13 10:05:44
0
ran 👑🎙🔞 :
Kaka ngoja nichek 😁😁😁
2026-09-08 14:46:17
0
Hassan lihonga :
respect
2026-09-08 21:14:40
0
diba :
usinishauri utanipoteza
2026-09-08 14:19:23
0
majesty_hub :
TOKA UKUTANE NA WAZIRI AJENDA UNAIPUSH SANA 😂😂😎 BIGUP SINDANO
2026-09-08 12:15:22
1
Alvin :
We live once tukiondoka haturudi watoto, pombe,
2026-09-08 14:13:58
0
Irshaad :
shukran sana kaka,.
Mimi situmii chochote, si pombe bangi wala sigara na sijawahi kutumia miaka yangu yote 47.
Nakushukuru kwa sababu unaelimisha sana umma.
nakuelewa sana
2026-09-08 05:03:25
1
yelko :
k
2026-09-08 13:11:28
0
sogile :
Acha kuchalazia starehe zawatu
2026-09-14 05:49:32
0
Jancho Cannabino :
usitupangie maisha bhna
2026-09-08 09:21:55
0
rich :
natak kuskia faida zake kwanza af ndy ntaacha
2026-09-10 04:31:17
0
edaantony :
Sawa sana mkuu kwa ushauri wako, naomba uongelee na masuala ya Kamari kama kubeti, Bonanza, pool table na vingine navyo vinarudisha sana maendeleo ya vijana ni hilo mkuu
2026-09-07 18:22:01
1
Mozedigital :
Nawe ebu tuwachie starehe zetu
2026-09-07 14:06:23
3
To see more videos from user @sindano_show, please go to the Tikwm
homepage.