@kalemela_hemed: Kama sio kampuni ya baba yako kuzidisha dakika 5 ni kosa kama yalivyo makosa mengine😂 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #creatorsearchinsights #officehumor #fypシ

Kalemela_Hemed
Kalemela_Hemed
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 13:47:32 GMT
74136
2857
161
573

Music

Download

Comments

mkemia_mkuu
ROBINSON SAMWEL :
kamwe usiache kazi sababu mshahara mdogo,wewe fanya kazi inayoendana na huo mshahara wanaokupatia😂
2026-09-08 00:00:14
111
asha_yusuph
asha_yusuph :
mm kasoro dakika 10 nipo nje😂😂😂
2026-09-08 13:21:07
9
josephinefidel
Josephine fidel :
me boss wangu akifika muda wa kuondoka ndio anaanza stor mara umbea mar tuanze kucheka me nakereka kwel
2026-09-08 12:20:03
10
mercylinah14
mercylinah14 :
ngoj nikupe ushuhuda boss wangu kashaninyooshea mikono juu kutok saa 4:30 mn sasa 4:29nipo getini🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-07 19:13:24
18
josephinestephan8
Josephine Stephano :
isizid hata sekunde🤣🤣🤣
2026-09-07 15:44:46
4
nayra6131
nayra :
mi saa tisa na dk 29 nipo getini😂😂😂 sitakiii upuuzi
2026-09-08 15:48:11
5
brinasabry
Briana :
mm hukimbia kasoro dakik5😏😂
2026-09-07 18:58:50
2
mandeje
Mazengo⭐handmade craft-tz :
Mimi hata taa sizimi😂
2026-09-08 15:28:18
2
official_chubby
Official_Chubby :
me ndo naondoka kabla ya muda 😂😂maana mshahara wao mdogo😂😂😂
2026-09-07 18:01:03
5
cunning363
Cunning :
mm kutoka ni sa9 na nusu ila sa8 na nusu nipo getini na siwazi
2026-09-09 05:42:17
5
fatmaabbas3969
Fatma Abbas :
dah ila we kaka nmekupenda Bure hvi ni vitu vyangu kabsa ila sku ya mshaara me nazidishaga dakika 10 kesho yake nalipiza kwenye mda WA kuja kazini😂😂😂
2026-09-09 07:05:56
1
user80343094046394
user80343094046394 :
umeona huwezi ifaidisha company kirahisi ni nyumban to kulala🤣🤣🤣🤣
2026-09-07 14:56:01
4
fetty7555
Fatuma ally :
Kuna ss tnaambiw kuwah mapema San chelew hata dkk1 hizo risala utazopewa ila kutoka inawez chukua nusu saa had lisaa kucheleweshwa na huna kaul🥺
2026-09-08 16:13:15
1
steve_kasawalah2510
Steve Kasawalah🥼 :
Mm haizidi hata sekunde kbbk😅
2026-09-08 10:22:57
3
teigerboy7
Teiger boy :
mkn xna kaka
2026-09-08 11:52:50
3
angelina.mathiasy
Angelina Mathiasy Msemwa :
Nalo neno
2026-09-08 12:24:20
1
msoma59
msoma# :
Kumbee!!!
2026-09-08 12:11:59
1
mpml065
user35676921123567 :
watu wa comment section naombeni na mimi kazi
2026-09-09 14:46:22
1
muji.julius
Muji Julius :
kwa tunaozunguka field no overtime maana tunaenda kazini na kutoka muda tunaotaka
2026-09-07 15:51:34
4
To see more videos from user @kalemela_hemed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About