Ambao kazi yetu kusoma tu atuandiki chochote tujuane jaman😂
2026-09-07 17:10:46
86
💸🤑💸 :
kimya kimya🤣🤣🤣
2026-09-07 14:44:37
2
Ma Leila 💝🦋 :
Marehem alkua kavaa kofia ya blue 😁
2026-09-07 14:32:46
47
Comedy zone :
Tusitegeane kucomment jamani 😂😂 wote hatuna mawakili 😅
2026-09-07 15:51:40
31
Emmanuel Tarimo :
smart assist of
2026-09-07 20:30:03
0
text🖊📩📤✉️ :
ivi mnajua bajet iliyotumika kwenye mazishi
2026-09-07 18:08:07
16
乂千卂几丨47🖕 :
𝑯𝒎𝒎 𝒌𝒂𝒛𝒊𝒏 𝒌𝒂𝒛 𝒊𝒎𝒆𝒊𝒔𝒉𝒂 𝒔𝒂𝒔
🤔😁😂
2026-09-07 13:59:50
2
goodluck mlowe☑️ :
eee mungu tumekuomba goli mbili wewe ume tupa moja 📌
2026-09-07 14:24:25
121
Jesca :
kuhama Tanzania nipige nyota ngapi?
2026-09-07 14:51:50
28
Onga Zuwena :
alietumwa kumchukuwa mama kakuta mzee amelala akapitanaetu ila amesema analudi kumalizia
2026-09-07 15:59:05
26
JAZZ✅️BIZZOO :
Tayari Tumeshakuwa Watoto Wa Single Maza..😪🥹🥹
2026-09-07 15:21:52
42
Papila..⚘️. :
Hakuna atakaebaki Dunian eleweni ilo fanyeni mnavyo fanya na nyi yatakukuteni Allah hafundishw malipo ni hapa hapa Duniani leo yeye kesh nyinyi musiwe munaandika t maneno ya ovyo musichukulie t masihara icho ni kifo kubwa tumuombeeni duw si kuandika t maneno ya ovyo😞
2026-09-07 14:53:19
25
MKUU WA MAJESHII 🐐 :
ety namna gan doumbia
2026-09-07 15:09:47
16
R.P 893KJ MBWENI JKT :
jamani jamn mnaoishi dar tukutane sehem tufanye sherehe kwa msiba huu ni jambo jema sana
2026-09-07 15:59:03
21
herieth 👑❤️🍎 :
😅😅😅bor tu mm Sina bando leo
2026-09-07 14:03:00
10
Iga Ufe04 :
Kuna muda unaweza Dhani kazi ya Mungu Ina makosa Kwa sababu inakuwaje watu ni mwili mmoja halafu achukue mmoja mwengine anabakia wa nini😳
2026-09-07 15:17:21
41
mkomboz Emmanuel :
sio mbya safar Moja uwanzisha nyingine
2026-09-07 14:43:01
15
👑MR-HB-BARAKA🧸 :
sikukuwepo nasijui kitu yoyote kwenye hihi taarifa ya abari
2026-09-07 13:59:02
8
ibrahim :
me nmemuwai mshangz ni wangu au mnasemaj wajomb zngu😂😅😂
2026-09-07 17:43:09
11
official Samba boy :
tushakuwa watoto wa single mather😂😂😂😂
2026-09-07 14:27:42
9
MOTHY B🍓🍎🍉 :
Dadek the first man to comment
2026-09-07 13:56:52
10
To see more videos from user @afrokid_bx, please go to the Tikwm
homepage.