Usijali kaka [Tears of joy][Tears of joy][Laugh approved]
2026-09-21 09:00:57
1
grace :
Bora niwe singular,single singulation
2026-09-20 18:20:57
0
Thered Kian :
Hapo wife kaliwa ndugu wanakuambia usimuache watoto watateseka😂😂
2026-09-20 08:30:35
42
anny rayah :
kila mtu atachanganyikiwa kwa wakat wake
2026-09-21 08:16:19
2
samootz :
oya hii Hali ndo jmaa nipo naye kazn anapitia😂😂😂😂😂
2026-09-21 10:12:24
1
Mussa matala :
yaan nimecheka kisenge nimepitia hyo hali alafu kuna siku kazin wenzangu wapo ndan mi siwaon maan vioo ni tinted kumbe wenzangu wananichola tu ndani baadae wananiuliza niliwaluka mita 100 nikawaambia nilikuwa naimba😂😂😂😂😂
2026-09-20 13:48:08
9
Toto🇹🇿🇷🇼 :
Bado ujasema😅😅😅
2026-09-20 19:34:23
0
NAHRIN ROYAL ABAYAS :
Hapo umekuta msg jamaa anashkuru kwa shoo ya jana afu ye alikuaga anaenda kwa mamake 😅😅🙌
2026-09-20 20:56:20
2
Hassan Issa Bobo :
huyu ni mm kabisa wa sasa hv😂😂😂
2026-09-20 18:27:03
2
𝓔𝓼𝓼𝓪𝓷 〽️ :
Kuna Mwanangu ana miaka 38 uko anazichapa sana ila Ndoa hataki kuiskia ukimuuliza Kwann anasema HATAKI KUSEMA na NJIA kumbe ndo kama hivoooo😂😂😂😂😂😂
2026-09-21 10:53:52
0
Ester Mjema :
ndo kinachonikuta saiv baada ya kupanda gar ya buza nikapanda ya posta😂😂[Crying]
2026-09-21 09:46:00
0
Shabany Jumanne :
😂😂😂😂ndomana nimejua
2026-09-19 07:39:48
0
Mbiku 🦺 :
Kaka mbn tunatishana nina mpngo wa kwenda kutoa mahari kesho😂
2026-09-21 07:28:08
1
calvincalvin2719 :
Utajua mwenyewe bwana sisi hatukuwepo wakati mnatongozana..😂
2026-09-18 11:13:58
5
Abduly kidary :
njia hakuna
2026-09-20 14:37:24
0
Choosen one 🦋😇🥰🫡🙏🏻 :
🤣🤣🤣🤣na bado
2026-09-20 19:36:43
0
Abdulrahman Said942 :
Kaka unanitisha mbona nishatoa barua mm🤣🤣
2026-09-20 19:24:03
0
Raxhijam :
2026-09-20 17:12:38
0
jaykalvin4 :
😂😂😂kama najiona
2026-09-10 10:59:37
0
abdulomary2323 :
KAMA NDOA NZURI VIAPO HUWA NI VYA NINI??? MASHAHID HUWA NI WA NIN😅
2026-09-20 12:20:03
4
it's azy :
waaaaaiiiiiiiiii whyyyyyy[Laugh approved]
2026-09-20 16:45:02
0
HB OFFICIAL :
hapa wife kaliwaaa na mjombaaa ake aliyekuja jana 😂😂😂
2026-09-20 19:55:41
0
Nasra Hassan :
tulien dawa iwaingie na sie saiz tunawachezea tu
2026-09-20 20:51:01
0
Bosco breezy 🌟 :
😂😂 we jau San
2026-09-20 11:28:49
0
yusuphkatonya :
😂😂😂
2026-09-20 12:51:06
0
To see more videos from user @mijilejoseph, please go to the Tikwm
homepage.