@taimediatz: #VIDEO Mke wa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli, Mtoto wa Hayati Magufuli na Mbunge wa Vijana kutoka Chato, Janeth Magufuli pamoja na Mbunge wa Jimbo la Kigoma mjini, Babalevo, wakiwa kwenye Helikopta wakielekea kwenye msiba wa mume wa Rais Samia. ✍🏿@mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv
Bajeti ya mazishi ni zalion 5600,000,000,000,000,000,000
2026-09-07 17:30:45
49
Yaumu Juma :
Alla ampumzishe kwa amani baba etu 🙏
2026-09-07 15:17:32
41
user76073863560293 :
jamani hii nchi ina wajane wengi
2026-09-07 21:04:54
6
@kambiaso1 :
Ssa yote ya nni mbna wenzio wametulia
2026-09-07 14:45:24
17
Nashu Nasrah :
mke wa magufuli yuko wapi apo
2026-09-07 14:42:17
17
mc aggy :
mai dad is at home
2026-09-07 19:46:54
0
Mwanaj4 :
M nashangaa kwanini wanawake Hawafi mpaka reo mama Nyerere yupo wachache watanierewa na naomben mniambie kuna nini apo kinaenderea msinichambe nimelazw 😔😔😔😔😔
2026-09-07 20:11:23
3
Michaeli Lukumay :
kwaiyo tinaongozwa na mtu wa inje na hamusemagi
2026-09-07 15:07:36
5
Janeth🥰🥰 :
😭😭😭😭 poleni
2026-09-07 18:11:56
0
Dayana🌹 :
mie ndio sijaelewa ulichoandika au
2026-09-07 14:37:03
12
mom wa G :
mmmh ana nguvu mama za kutembea mwenyewe dah pole sn
2026-09-07 15:52:27
5
Amani Amosi :
sjaelewa kuwa rais ni mke wa mbili mbona pambe
2026-09-07 15:56:01
6
~smith :
jamani rais sijapenda utumie uwousafiri jamani, helcopta, sio salama sana kwa rais wetu jamni, usalama wake kwanza pleaseeee
poleni piaa, mungu awape faraja
2026-09-07 17:24:30
0
juju :
baba wewe na nani ety?
2026-09-07 18:52:47
1
bintyzuh :
zalioni tena😃😄😁😆
2026-09-07 20:39:24
1
Mr kagan :
ila familia inahisi kama vile tulivyo jihisi oct29 ?
2026-09-07 18:09:36
2
Baba D :
off target ila sio mbaya asante mwenyezi mungu kwa hiki kidogo kesho nayo siku
2026-09-07 17:57:43
1
Grace Kihwili50 :
poleni sana mungu awatangulie
2026-09-07 17:34:18
1
user8249134183606 :
mataira wa ccm wakiigiza maigizo ya mambo hayo
2026-09-07 22:15:33
1
P*CLASSIC ONE :
kwani kunaaja ya kupost kaka
2026-09-07 15:06:40
2
Steven Nyigodi :
Pole mama najua unamaumivu casino zibika namuomba mungu akutie nguvu
2026-09-07 18:02:31
0
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm
homepage.