waaaah Sasa ona nimecheka Kwa sauti na mm ni mkisii waaah tuende wapi Sasa [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-07 19:40:12
8
gesicho :
don't dare us pliz
2026-09-08 07:39:36
2
the breeh spoiler❤️🔥♥️❤️🔥 :
ata hamuoni tuliwaletea yesu jamani☺️☺️☺️
2026-09-07 16:44:38
227
Aggie 254 :
nitamiss rafiki yangu Kwamboka
2026-09-07 19:08:42
118
carooo :
kwani tena wakisii watoka nchi gani🤣🤣
2026-09-07 15:13:57
74
Peterson Wainaina :
Kenyans be serious...mtaanza vita yenye hamtaweza kusuruhisha.
2026-09-07 17:51:19
48
guka :
Makori Vincent start parking. we will miss you..🤣🤣🤣🤣💃
2026-09-08 07:51:38
2
winny :
mnatuonea mnataka twende wapi sasa😅😅
2026-09-07 18:52:04
34
Isaac kinuthia :
mtatuambia entururu ni nini?
2026-09-07 19:41:01
9
mosaju :
sasa wakisii were just chilling 😂😂😂unauliza wakisii nini surely?😂😂😂
2026-09-07 20:32:25
2
dfgt :
wanasemanga sisi wameru ni cousins wao😂 please don't come for us ni uongo😂
2026-09-08 06:25:13
2
user323950111433mary :
husikii wakamba pia SI wakenya
2026-09-08 06:24:13
11
Alicia :
nitamiss huyu nyamboro wangu 😂
2026-09-07 19:40:58
27
Sharon junior :
😂😂😂😂 don't bring me teeth mie
2026-09-07 16:52:55
5
Leah leey 🦋🌹 :
wakisii mama yesu atawatetea juu naskia Ako kisii 🤣🤣
2026-09-08 07:53:23
10
Jenipher💃 :
Yesu mwenyewe ni Mkisii ama Sisi ni wa Nazareth na hatujui
2026-09-07 20:19:03
15
sein kuntai :
woiye keruboo na nyanjogo msikubali kurudi kwenu nitawamiss sana😂😂😂
2026-09-07 19:52:06
9
Cathy :
Hadi wakati tumewaletea Mama Yesu bado mnataka kututimua pia sisi wakisii😂😂😂
2026-09-07 19:15:54
5
ma🦋ri🦋a #♥️ :
yaani hiyo siku natoa nguo zote nipige picha nitag ruto aseme anataka tuende wapi
2026-09-07 20:01:14
15
Lincylesh :
waaa mtaniua nyinyi
2026-09-07 17:15:41
5
Dee :
We kwani hujui Yesu ni mkisii🤣🤣
2026-09-07 19:08:41
9
Namelok❤️📌❤️🎖️💎 :
sasa zakayo comedy,murife wataenda wapy 😂😂😂
2026-09-07 20:46:49
19
rose 💗💗🫶💞🥰 :
kwani wakisii sio wakenya
2026-09-07 18:09:31
5
Mwangi John :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwani wakisii ni WA wapi man
2026-09-07 16:30:38
8
Miss :
kwani si wakenya 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-07 17:41:18
6
To see more videos from user @young.millionaire950, please go to the Tikwm
homepage.