@kambi_health: 🚨 **MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO + KIFUA KUWAKA MOTO USIKU? USIPUUZE!** Umewahi kulala usiku halafu ghafla ukaanza kuhisi **moyo unapiga kwa kasi**, huku **kifua kikianza kuwaka moto** au kama kuna joto linalopanda kutoka tumboni kuelekea kifuani? 🔥❤️ Kwa baadhi ya watu, hali hii inaweza kuhusishwa na **acid reflux (GERD)**. Asidi ya tumboni inapopanda kuelekea kwenye umio, inaweza kusababisha hisia kali ya **kuungua kifuani (heartburn)**, hasa baada ya kula au unapolala. 🔥 **KIFUA KUWAKA MOTO USIKU** Unapolala, asidi inaweza kurudi juu kwa urahisi zaidi kutoka tumboni kwenda kwenye umio. Hii inaweza kusababisha: • Kifua kuwaka au kuungua • Joto kupanda kutoka tumboni kwenda kifuani • Ladha chungu/kali mdomoni • Dalili kuongezeka baada ya kula na kulala ❤️ **MAPIGO YA MOYO KWENDA MBIO** Mtu mwenye reflux anaweza kuhisi mapigo ya moyo kuwa ya haraka au kwenda kwa nguvu wakati wa episode ya reflux. —yanaweza pia kusababishwa na msongo wa mawazo, caffeine, dawa mbalimbali au matatizo ya moyo. Kwa hiyo, usidhani kila palpitations ni reflux. 👉 Kama hali hii inakutokea mara kwa mara, usizoe kuishi nayo bila kuchunguza chanzo. 📲 **Wasiliana nami kwa ushauri zaidi:** **+255 795 051 414** 💬 Andika **“REFLUX”** kwenye comment kama umewahi kupata hali hii hasa wakati wa usiku. #AcidReflux #GERD #KifuaKuwaka #MapigoYaMoyo #Heartburn
KAMBI HEALTH ||
Region: TZ
Monday 07 September 2026 14:40:09 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @kambi_health, please go to the Tikwm
homepage.