@islamicswahilinet: TWENDE MAHAKAMANI TUKAJUE UKWELI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet
Islamic Swahili NET
Region: TZ
Monday 07 September 2026 14:56:16 GMT
Music
Download
Comments
patawewe :
[Laugh approved][Laugh approved]hapo sawa
2026-09-08 00:48:37
0
surya :
bakwata wamefeli
2026-09-07 17:48:25
2
Ahmed :
exactly
2026-09-07 17:48:38
1
autodiagnosistz :
bakwata?????😳😳
2026-09-07 17:32:39
2
muddyjoose :
Kwan mahakama ndo Ina ushahidi
2026-09-08 07:21:44
0
UNIQUE HONEY :
SUBHANALLAH
2026-09-07 15:02:10
1
mwajuma :
kwel kabisa
2026-09-08 06:00:36
0
Rajabu Bundala :
kweli ndugu
2026-09-08 07:37:24
0
user8825447925475 :
Mashallah
2026-09-07 20:13:43
0
Officialnjora :
lazima afike mahakamani akatoe ushahidi
2026-09-08 04:44:44
0
Said Yusuph :
tendeni tuko pamoja kuja kusikiliza kes
2026-09-07 20:51:29
0
Safia Mketo :
kabisaaa
2026-09-07 19:19:42
0
engineer :
kibaya zaidi mtu anamtukana shekh alafu anakimbilia bakwata anakaa na must wanaongea wanacheka nikajiuliza kuna nini hapa
2026-09-08 03:49:53
0
ABDI 23 ✌️ :
sanaaaaa
2026-09-07 21:38:33
0
msagula :
kazoweya kamtukana sana mama daimondi mungu anamlipiya
2026-09-08 04:34:18
0
user4237762693031 :
ustadh shafi. unanyooka sana.
bakwata mbona hawaya simamii haya au sio kazi yao??
2026-09-08 07:46:05
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm
homepage.