wallahy huyu kijana anaelezea maneno Yenye ukweli nausawa mimi nimtu wamaulidi lakini kuanzia leo sitoenda tena maulidini nimeiona haki ikowapi
2026-09-07 20:04:14
41
waliyyulla990 :
swali langu mm kwnn bidaa zaonekana upande mmoja mfano tawheed tatu hazina dalili tahajud ya jamaa haina asli kabsaa katika dini kugeuza khutba za ijumaa kwa lugha yoyote pia ni uzushi mbn sasa iwe izi zafaw kwa kua nizetu nazile za wengne ndio mwatwambia bidaa shida kubwa iko wapi ndio tuijue
2026-09-08 12:02:52
0
reilakhamisi :
Allaah akupe mwisho mwema
2026-09-08 04:32:27
5
Aliy Mray :
@huyo dogo Bado sana kujua vitu
2026-09-07 17:59:08
1
Key Mo :
hapa na mm na swali pia vp mtume hakutambua kama maulidi ni shari na hakulisema ilo.....naomba majibu sitaki matusi
2026-09-08 10:28:16
0
Khatib Omar :
sasa kwani maulidi katja
2026-09-08 05:45:17
0
Twalib Dhadho :
maa shaa Allah...hivi pia mtume kutotufundisha kufanya mashindano ya Quran na twafanya tunajiweka wapi kwa mtumi s.a.w?Je twaona kafanya khiana? ama hakuwa aijua hii kheri?
hii hali tuipeleke kwa kila tunalofanya tukidhania ni kheri na mtume hakufanya wala kufundisha tusibakishe kwa Moulid tuh.
2026-09-09 09:12:14
0
Voda Wi-Fi Shop :
Mimi nualiza kidogo kuna aya au hadithi inasema Maulidi ni uzushi??
2026-09-10 04:59:24
0
salimu isuja :
hapo nasisi tunakuuliza jee mtume hakujua kama maulidi nishari akatukataza?
2026-09-09 10:02:00
0
Salum Salim :
sahihi kabisa
2026-09-07 21:46:31
2
Abu Mujahid Amiin :
majibu yenye ukweli na hoja zenye ku eleweka kwa mwenye kutaka kuelewa na chungu kwa wenye ku kataa ukweli..barakallahu fik sheikh
2026-09-07 18:47:50
9
shuaiib :
nasaha nzuri shekh Wangu bacho
2026-09-07 20:05:06
6
abdulmwakubambany :
Barakh Allah Kher sheikh
2026-09-08 08:11:27
1
%🌹🌹Baby face%🌹🌹 :
Mimi siyataki hata kuyasikia
2026-09-08 08:53:01
2
boss kuvi :
alisha ikataza shari zotembona
2026-09-10 06:41:16
0
Abu Suhayla :
Jazaakallahu khaira Akhii
2026-09-08 14:35:15
1
Abuumuznath :
haqi
2026-09-08 04:17:25
0
harakati man :
mashallah
2026-09-10 06:28:22
0
Faiz mbaruk :
swadakta sheikh Bachu
2026-09-09 09:39:47
0
G7MUBAH :
ukipnga Hilo bc sbiria na krismas usherhkeee ndugu
2026-09-09 18:52:11
0
Hilmi Saleh :
hata mimi napinga kwa asilimia zote
2026-09-11 06:59:32
0
alimakame138 :
Mimi nauliza Bidaa nikusoma maulidi tu hivi kujiita Maamswari si bidaa Mtume na Maswahaba walijiita majina hayo?
2026-09-11 05:24:00
0
Key Mo :
kwa maneno ya shekhe hapo kwasasa ndo hapo wajuaji kumzidi mtume kwamba wanaharamisha kitu ambacho mtume hakuharamisha.........jmn waislamu wenzangu tuchunguze mambo kabla yakuhukumu kwamfano mashindano ya Qur an yanafaida kubwa lkn mtume hakufanya.....hebu tufanyeni jitihada za kuupeleka uislamu mbele na siyo kugawanya umma wanaoamin katika nguzo tano za uislamu na kuzifuata
2026-09-10 08:21:20
0
jamalmzee6 :
umeonge zaidi ya watu milioni moja Lakini hawawezi kuacha kwa sababu ya haya
2026-09-10 20:28:21
0
Mussa Hamidu :
ukweli mtupu
2026-09-08 06:18:24
0
To see more videos from user @shekh.rasi, please go to the Tikwm
homepage.