@bbcnewsswahili: Meli ya kivita ya Marekani USS Ross imetia nanga Mombasa. Meli hiyo imewasili Mombasa ikitokea Ghuba ya Uajemi ambapo inadaiwa kushiriki katika operesheni za kijeshi Mashariki ya Kati. Marekani inasema ziara hiyo ni ya kawaida kwa ajili ya mapumziko lakini kwa nini Mombasa? Na je, bandari hiyo inazidi kuwa muhimu kimkakati kwa Marekani katika bahari ya Hindi? #bbcswahili #USSROSS #Mombasa #kenyatiktok #foryou #fyp
USA navy has always been coming to Mombasa to dock, clean and restock, my patients who are in their 70’s and 80’s in America tell me about drinking warm Tusker in Mombasa and they remember the huge elephant tasks in Mombasa
2026-09-07 21:38:17
0
peezy :
Kenya is at risk for hosting us battle ship Iran is watching this
2026-09-07 19:16:09
19
Ahmed Omar :
Iran is watching Kenya is hosting US soldiers
2026-09-07 16:36:34
218
Nzaku :
Hapa tumeshikishwa Handball
2026-09-07 18:11:41
104
🏀 :
kwani meli kukuja holiday mombasa ni makosa?
2026-09-07 18:12:09
46
Lapozzy De Done :
Waondoke haraka sana..
2026-09-07 17:44:32
40
SOUL TAN MASOUD :
sasa mnawaeleza Iran watukujie ama?mbona muongee ?mkinyamaza nini itafanyika?
2026-09-07 17:23:10
40
Petro_Classic_Wear :
wakenya mko tayari🤣🤣🤣🤣
2026-09-07 16:08:44
56
sharlet robai :
it's not the first time that ship kukuja mombasa
2026-09-07 18:28:30
1
Moffat Treaty :
War is coming in Africa watch this space
2026-09-07 21:12:06
0
Saida k :
iraaan! come seee what kenya is doing!
2026-09-07 20:47:20
1
Kenneth kaunda :
wakenya mnatulea shida mombas ni karibu sana na tanga Iran wakikosea target tyu biashara imeisha
2026-09-07 16:23:11
120
gamer_pro :
Guba ya wajemi ndo marsabit ama turkana? 😂😂
2026-09-07 18:39:46
7
SHALWA :
Mmmmmmm, 1979 Kenya 🇰🇪 waliwa karibisha Israel 🇮🇱 kuvamia Uganda 🇺🇬 atujasaau.
2026-09-07 16:35:14
5
Yusuph_wm :
ruto must go
2026-09-07 16:20:39
30
NOB 🔵 :
wanetu kenya mbona kama kama mnatutaftia matatizo
2026-09-07 17:33:39
5
Nyota ya kheri🌟 :
Afadhali mombasa ni mbali sana na Zanzibar😁
2026-09-07 16:56:57
37
SMILE ITS SUNNAH😄 :
And again USS ABRAHAM LINCOLN IS AT THAILAND
2026-09-07 17:09:54
1
Moses Wa Nangami 🇰🇪🇧🇭 :
Iran
2026-09-07 16:36:27
15
Steve Marash :
one day kasongo will lead us into trouble i sweya
2026-09-07 16:43:12
25
Édú Br :
Iran wacombine na Russia alafu Kenya i combine na America alafu wakuje alaah😅😅😅
2026-09-07 17:40:08
5
☆☆Introvert O.p☆☆ :
Iran isione hiiii🤣😂😂
2026-09-07 16:40:31
7
positivity💛💚❤️🇰🇪🇰🇪 :
Acha nihame hapa likoni sasa[Tears of joy]
2026-09-07 17:31:44
30
COUSIN_WA_KENYA :
kenya mnjiponza ndugu zetuu
2026-09-07 16:44:26
13
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.