@justice0591: #chadematanzania #dwswahili #BBC #democracy

justice ⚖️
justice ⚖️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 15:29:01 GMT
56792
2489
94
84

Music

Download

Comments

odiliaorotta
Odiney :
hii ni akili kubwa inaongea viva mama
2026-09-07 19:38:57
22
its.ferion
its ferion :
me nachojiuliza kwnn mabadiliko kwenye chama tawala yaombwa na wazee ila vijana wa chama tawala hawayatakii??
2026-09-07 18:06:23
16
shabanisudi151
Shabani Sudi :
mama msomi wa wasomi. keep going.
2026-09-07 20:51:44
2
nrs4070
VAR6080 :
Bibi yetu very smart 🔥🫡🫡
2026-09-07 21:47:24
1
voisaclassic92
voisaclassic92 :
huyu mama aliiba hela zetu bilioni kumi halafu akasema hela za mboga wakati akiwa waziri leo hii anajifanya mwema...hebu akae atulie serikali ifanye kazi bana
2026-09-07 23:54:50
1
misanaantipas5
🎗 :
well said mama
2026-09-07 16:59:37
1
bernierockman
bernie_rockman :
mama tibaijuka Mungu akulinde na hina deni na Tanzania.
2026-09-07 17:39:51
11
taiyoungallysonmo
Taiyoung Allyson Mono :
bongo unaibaa ccm una jisafisha chadema
2026-09-07 21:41:58
2
mpambanaji.mstaar
mpambanaji mstaarabu :
no comment
2026-09-08 02:48:39
1
abdulsamad.suleim
Abdulsamad Suleiman :
wakikutaka wanashindwa nini kwani
2026-09-07 17:41:53
2
deo.msingapore
deo msingapore :
Mungu akulinde mama umenena
2026-09-07 17:26:14
6
elvisgare
Elvis gare :
shida yangu nimelelewa na mama nakupenda sana Dunia yangu MAMA
2026-09-07 22:24:42
4
benny.mulishiwa
Benny Mulishiwa :
🙏🙏🙏MUNGU AKULINDE MAMA
2026-09-07 18:34:47
2
diwani.10
Diwani :
ubarikiwe mama
2026-09-07 17:17:02
4
sajadihamidu
sajadi mbangali :
asante sana mama hakika mama tumeona manufaa ya Elimu yako kupitia mawazo yako 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
2026-09-07 21:36:38
2
dede45836
dede :
ubarikiwe sana tuna kusikiliza kutoka congo
2026-09-07 18:37:03
2
user17553990611825
mtui :
Bibi letu la Taifa kongole bibi yango🔥🔥🔥
2026-09-07 21:46:56
2
mahupaabdul5
mahupaabdul :
Ccm hawataki kusikia hayo kamwe kwa sababu hawana hofu ya Mungu
2026-09-07 20:56:15
2
dudu.baya54
dudu baya :
wazee wetu tunawapenda Sana sana
2026-09-07 20:37:07
1
roseally8744
roseally8744 :
bibi Mungu akutunze jmnnn Mungu akufiche wasio julikana wasikuone kamwe
2026-09-07 21:56:52
1
michaelkiginga
Michael Kiginga :
umeongea ukweli mama huo ndyo ukweli
2026-09-07 17:39:31
2
user682184856793
sehend osward :
mungu akulinde
2026-09-07 18:26:34
1
vaps49
vaps49 :
Mama Tibaijuka na mzee Warioba ni msaada mkubwa kwa ccm na taifa. Wazee wengi wanafiki.
2026-09-07 19:43:37
1
segena2000
SegenaMS :
Nataman kusikia Happi aliongea nini
2026-09-08 07:11:59
0
To see more videos from user @justice0591, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About