@habarimpya_tv: Taarifa kutoka Msibani,.

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 15:29:37 GMT
133555
5858
399
347

Music

Download

Comments

minahdecuty0
🦋it's m!n@h🦋🦋 :
kama rais alikuwa na mke mwenza me nan niwe peke yangu
2026-09-07 16:56:42
233
mamaas_3
Da Love💃 :
Mme wangu asione hii habari 😆 Sasa kama Rais alikua na mke mwenza mimi ntajiteteaje jamani😆😆😆
2026-09-07 17:08:19
145
itsneema7
Psy Ney :
Hatimae nimemuona anaetuleteaga Tafakuri baada ya habari😇😇😇
2026-09-07 17:27:53
59
judith.kilonzo1
Judith Kilonzo :
mapenz haya Hadi rais anashea mume
2026-09-07 17:26:17
0
itsslim96
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Imagine una share na raisi alooh nyie daaah 😂
2026-09-07 18:21:08
0
cefrine.barnaba
CEFRINE OUTFIT STORE 😍 :
kama samia alikuw na mke mwenza mi ni nani kwanzia leo sigombanii mapenzi karibu mke mwenza nakupenda 🤣
2026-09-07 17:32:18
24
ahmedbinseif
Chef mswahili 🇹🇿🥦👩‍🍳 :
Raisi alikua mkee mwenza ? 😳
2026-09-07 16:49:55
25
somalian_girl3
sabby__no3👸🏽 :
Hatimae tumekuwa watoto wa mjane😂
2026-09-07 16:56:13
34
user6627126657356
hatun>.<❤️‍🩹 :
yooooo[Tears of joy]
2026-09-07 18:06:58
0
yumnajums
yumnajum :
samiy anashey mume me nan nisishey
2026-09-07 17:01:33
0
mwakalubunju
mwakalu bunju :
uyo mke mwenza ndo mama Amina au
2026-09-07 16:40:21
53
winifridavincent6
winifridavincent6 :
nahis mama yetu ni bi mdgo
2026-09-07 16:53:50
33
allykinguji
Kinguji MR😎 :
l remember the voice😁😁
2026-09-07 17:34:38
1
uniquelady028
@uniquelady❤️🥰 :
Watoto. Wa nne wajukuuu 15
2026-09-07 16:37:07
12
itszuu64
Zuu baby :
pole sana raisi wetu😥😥😓
2026-09-07 17:25:13
5
ndandaaugustino
ndanda :
Huyu jamaa si yule wa kipindi cha " maneno hayo" radio RTD
2026-09-07 17:09:24
9
selenguziabdallah
SBA NEXUS :
Pole sana Mheshimiwa Rais, Mama yetu wa Taifa, kwa msiba huu mzito wa kumpoteza mume wako. Tunamuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema na awape wewe pamoja na familia nzima subira, nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. 🤲🏽🕊️
2026-09-07 16:21:19
19
babysj754
Sophia cute :
kama rais alikuwa na mke mweza mimi na wewe tusiokuwa na cheo kelele kibao😂eti suwezi kushare Aloooh
2026-09-07 17:01:02
6
lamejok
Menye Irmegoliki. :
Wajane 2 na watoto 4 kumaanisha kila mke ana watoto 2 ama?
2026-09-07 15:59:03
7
leopodnah
#ndani YAKO Kuna NDOTO 💕💯 :
kumbe Kuna msiba na sijui jmn .mniwahi jmn kabla Hali haijawa mbaya
2026-09-07 16:52:35
7
christinechristin8410
tinne_G@18 :
naomben kuuliza Kwa hiyo Samia atakaa eda naye au??
2026-09-07 17:32:08
0
borntowinn10
Finelady😲 :
mbona watoto wa4 nashindwa kuelewa
2026-09-07 17:59:42
0
nuruhlaizer3
nuruhlaizer548 :
hii sauti ni ipi kama naijua hivi
2026-09-07 17:51:38
0
floooooreee
Flooooreeeee mimi :
kwahyo mama alikua mke wa ngapi
2026-09-07 17:56:23
4
angelmakoye
user387108509067 :
kwani kwenye uislam Huwa Kuna kusoma historia ya marehemu, nimeuliza si kwa ubaya kwakuwa sionagi
2026-09-07 17:52:22
1
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About