@hopechanneltz: Mungu Aliingilia Kati Unaweza kujisikia umesahaulika, umelemewa, au uko peke yako, lakini Mungu anaona kabisa mahali ulipo. Anaona machozi ambayo hakuna mtu mwingine anayayaona, anaona vita unavyopitia kwa ndani, na anasikia maombi ambayo hata yamekuwa magumu kuyatamkwa. #MamboYoteMapya #TumainiLinaanziaHapa

Hope Channel Tanzania
Hope Channel Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 15:39:04 GMT
257
25
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @hopechanneltz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About