@amankafalume: 🧠🙂‍↕️ #daresalaam🇹🇿 #tanzaniatiktokers #kenyantiktok🇰🇪 #bongochachacha #viralvideo

KAFALUME 12🕷️
KAFALUME 12🕷️
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 15:47:45 GMT
140308
13328
149
363

Music

Download

Comments

mamubaya
happymubaya :
Very true first time is very easy kbs
2026-09-10 15:20:24
0
user6093991355626
Rafiki :
jicho la mtangazaji jaman
2026-09-07 21:03:07
45
mamisibosslady6
boss lady :
uzuri chat gpt yupo mm kila kitu ntakuwa nauliza
2026-09-08 12:36:03
14
idrazzo_
Idrazzo :
Inamaana hela ya Bongo nikibwa kuliko ya china??
2026-09-08 00:01:17
28
laptoproom
laptop Room :
kule nilikuwa natumia calculator mara nyingi kuliko WhatsApp
2026-09-08 13:21:18
12
jaympole8
JayMpole :
Hii kitu ilinikuta nchi jirani tu hapo MOZAMBIQUE 🇲🇿
2026-09-08 12:42:46
7
mcmanasee
Mcmanasee :
Yaan mm nikiwa out of Tz cm yangu iko mkononi calculator iko on muda wote . Kila nikiambiwa mm ni ku calculate na pesa ya home , nikipita dukani nikiona bei ni mwendo wa calculator 😂😂😂
2026-09-08 03:20:12
24
tunaizii.687
🍀[email protected]🎽 :
nime kubar sana nakiwa nikutafute una kitu utasaidia sana brother
2026-09-07 18:48:09
8
user3046615953022
ica.@.♥️ :
huyo kaka anaeskiliza mwishoe atalala
2026-09-08 19:49:17
4
destanzania
DES Tanzania :
Mimi ni mwalimu, nimepata somo kubwa sana. Nilipanga kufundisha mada ya fedha kwa wanafunzi wa darasa la tatu, nimepata kitu hapa.
2026-09-08 05:55:24
19
vanitywamapii
Vanity wamapii :
mbona umetushiya ndugu yangu inamana tukienda aturudi tena ?
2026-09-07 18:33:13
9
stevenkyando_
Busara_Za_Stevie :
hii ilinikuta kenya .. kuna jamaa wa boda aliniomba kiroho safi tuu bro nisaidie 4000 nikampa 🤣 badae napiga hesabu nilipumua kwa nguvu
2026-09-08 08:45:49
13
mu_yool_classic_883
mu_yool_classic_883 :
Respect
2026-09-07 17:44:59
7
wakishua_elite
Wakishua :
Hapa kasema ukwel😂
2026-09-08 04:58:44
5
abulashbalidaudiseifu
𓆩Abul Ashbali Daudi𓆪 :
unasema kwel
2026-09-09 09:52:36
2
ngoma_jr7
ngoma jr :
ata mm nipo china uku napambana sana na izo changamoto 😂😂😂
2026-09-08 16:42:12
5
jamila.gotribu
Jamila Gotribu :
ili lijamaa lina akili mingi sana
2026-09-08 21:27:36
3
hggdtfd
sifakijiko zalaudebe :
hiyu jamaa natafta mawasiliano yake sana daah
2026-09-09 10:09:42
3
ms.minnah8
MINNAH AQUARIUS ♒️💜 :
huyu jamaa yupo kama AI😂😂😂😂😂
2026-09-08 09:10:05
10
salmamayocha
Salmah Mayocha🌸 :
Kwani Hamna boda boda uko
2026-09-07 22:01:22
8
kareem.zaggar
MR🎲ROKHO🎲SAFI🇹🇿🇿🇲🇨🇩🦅 :
Sema kweli mimi mwenyewe zambia kitu kinacho uzwa kwacha 100. Au 200 naona ndogo Ila sana Ila nikiambiwa ugari samaki 10000 Tz nabisha sinunui Ila mafanikio yanahitaji heshima ya pesa🙏🙏
2026-09-07 23:12:14
9
jayson_baker29
COREY :
bro mi ushamba wa pesa sina. yan mi niende sehemu et kisa kwetu 100 haina thamani ndo nikafananishe na 100 ya taifa naloenda huo ni Uzuzu wa hali ya juu. kitu cha msingi lazima ujue thamani ya pesa ya huko unakoenda
2026-09-08 11:14:56
2
mwacha03
eve 🥰🥰 :
Kwan uyu ni nani jmn
2026-09-08 08:09:51
4
lavish5364
Fetty lavish :
Huyu mtangazaji yupo darasani sio kazin
2026-09-08 23:26:40
2
smailydnb
Smaily DNB :
tas de parabéns jovens, falou direito e verdade.. discordo plenamente contigo tudo que diálogo neste podcast.
2026-09-08 16:56:57
2
To see more videos from user @amankafalume, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About