@bazarobrandy: mama ni mama tuu kwenye dunia usimdharau mama@cheupe 55 @moze mussa @Lukman fafa @Princess Jamillah💫♥️ @Mpemba Comedy586 @FAkAl #bazaro #ukumbushoo

bazaro brand 30
bazaro brand 30
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 15:48:29 GMT
31933
1758
113
81

Music

Download

Comments

baga.y.cry23
isak 14🇸🇪⚽️🥇 :
asieskia la mkuu
2026-09-09 11:35:01
2
babliyzo.ali
Babliyzo Ali :
zifue nguo izo dady
2026-09-08 03:15:53
3
user2326844478207
asy kipwat :
jaman uwapendeni sana wazazi wetu na yuwafanyiye ikhisani kabla mungu hawajawahitaji
2026-09-08 07:40:26
8
user99790731317
abdrhmani :
mama ni mama tu hataufanye nini
2026-09-14 11:02:31
1
skip6235
skip :
duwa ya mama hairudi bro hata allah mwenyewe amesema maneno yk
2026-09-08 06:21:26
6
ally.juma4182
Taulo :
mung tusside. katik hili
2026-09-12 17:39:45
1
user6860092627625
tumah :
Mimi wangh kafa juzi namkumbk snaa Tena sana mama yangh 😭🤲🤲
2026-09-08 20:48:12
2
user1029881057967
BINSALUM :
bazaro kaka pambana sana unaweza
2026-09-10 12:48:05
2
077bably
Bably :
vijana tunapaswa tuwatii wazazi
2026-09-07 17:28:54
5
endru.abdallah
Endru :
dah Kuna jammaa na maishaa ya kwaeli imemtokea
2026-09-14 09:27:16
1
shinya..0029
SHINYA 0029__✍️ :
bazaroo uwezo upo kaka musiacheee
2026-09-10 19:15:30
2
usetonic2007
michezo 2 :
hakun km mam
2026-09-08 14:49:25
1
umnadir376
Sweetheart🩷 :
Haya kweli ivo nishayaona kwa macho yangu
2026-09-09 12:34:56
1
user2226269669545
naomy :
tuwapende wazazi wetu
2026-09-10 11:28:17
1
user293929167981
user293929167981 :
mungu anisameh mwanangu aliniaga anaenda skuli nikamwambia leo hamna skuli litalo kukuta utajua mwenyew hatimae napigiwa sim kakatika bega
2026-09-09 18:05:21
1
rayyanamour98
Rayyan Amour 💞 :
Subhanallah
2026-09-08 22:08:45
1
lahi_baharia
lahi_baharia🇹🇿🇹🇿💵💸 :
sawafundi
2026-09-08 17:15:00
1
pappy6797
👑Kelly🤎l🇹🇿💦 :
😁😁mamenooooo
2026-09-09 08:13:10
1
sadikiomy
user 0713113193 :
mh
2026-09-07 17:49:36
2
segorajabumangshi
Mujahidina :
mama. 🤲
2026-09-10 05:33:56
1
mrs.saleh897
Mom khairat❤️ :
dah kiungo kimevunjika jmn tuwaheshimuni wazaz wetu
2026-09-08 11:12:56
2
ummy.buthayna
Ummy Buthayna :
Kama namuona mamaangu apo haya mpelekeni kwa kocha hapa sipo😂😂😂😂
2026-09-09 08:48:09
1
user5863680846544
muhamadi iddy :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mm tuwaeshimuni sana mmm
2026-09-07 21:40:15
1
user495934761810
Mu_jr fernandes :
subhanallah
2026-09-08 12:08:21
1
abdulwardontz
War- Don :
mashaallah ASIEFUNZWA NA MAMAE HUFUNZWA NA ULIMWENGU
2026-09-08 11:54:42
3
To see more videos from user @bazarobrandy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About