@brightherbs.tz: Wanawake wengi hufanya hivi kwa nia ya kujilinda, bila kujua kwamba baadhi ya bidhaa na tabia zinaweza kusababisha irritation au kuvuruga mazingira ya kawaida ya uke. Jifunze kwanza kabla hujajaribu. 🌿 Follow Bright Herbs kwa elimu ya afya ya mwanamke kwa lugha rahisi. Hashtags: #BrightHerbs #UsafiWaUke #AfyaYaUke #AfyaYaMwanamke #AfyaYaUzazi