Natamani kujazwa Roho mtakatifu kwa jina la Yesu kristo. amina🙏🙏
2026-09-07 18:11:54
374
QueenSimba :
Kuna kitu sisi vijana hatuelewi in our generation without God yaaan Bila Mungu niamini Mimi hatutoboi
2026-09-07 21:34:04
146
love magari :
Zaburi 13:3-4 Ee bwana ,Mungu wangu ,uangalie na uniitikie,uyatie Nuru macho yangu ,nisije nikalala usingizi wa mauti .Adui yangu asije akasema,Nimemshinda ; Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa.🙏
2026-09-07 21:58:08
78
bernice :
Bona niko interested on u I want your number
2026-09-08 17:40:05
2
Mtu makini :
Ndoto za shure zina maana gani
@Apostle
2026-09-07 19:34:34
15
Wema Gorge :
UCK nimelala nyoka kanizingira mkononi nashtuka nimelalia mkono umekufa gaz nikaanza kukemea,watu wa Mungu tusali UCK kuna mambo meng
2026-09-07 19:58:04
47
Samweli Samson :
zaburi mlango13 msitari 3 siyo wakwanza
2026-09-07 19:47:43
14
elizabeth samwel :
mimi naota shule sana
2026-09-07 17:40:17
9
Robie_Joénsé :
haipo kweny zaburi 13:1
2026-09-07 21:12:11
2
Lubote🦋 :
Mbona tunaona watu wanasema ukiota ndoto means unarudishwa nyuma kimaendeleo yaan sijui Mungu atusaidie
2026-09-08 20:14:30
0
komuhendo Jemima :
Damu ya yesu it
2026-09-25 19:34:42
0
nanaqueen :
Hallelujah
2026-09-07 17:59:10
6
Subira Nassoro :
zaburi 13:1 mbon cjaipata hyo unayosema ni tofauti na kweny biblia
2026-09-08 18:09:25
0
Sambona👩🎓 :
Amina Kwa neno
2026-09-07 15:56:55
7
iserael :
EEE BWANA MUNGU WANGU WA MBINGUNI KATIKA JINA LA YESU KRISTO NAOMBA USIKIE SAUTI YANGU NIKUOMBAPO NISIJE LALA USINGIZI WA MAURI UTIE MACHO YANGU NURU KWAAJILI YA MWENYEWE UJITUKUZE AMEEN
2026-09-07 20:07:31
5
starshone lalusya :
amen
2026-09-07 18:51:25
2
Angel✨Bam D :
Hii nikweli kabisaa kuna MDA unalal unaota ila hukumbuki sio kwamba upo salama ni hatari kubwa Sana hiyo
2026-09-10 17:20:44
4
OSCAR MIDDO :
swali langu
maombi ya mwenye dhambi ni kelele Kwa MUNGU
ROHO MTAKATIFU hakai mahari pachafu
vipi mtu mzinzi au mwenye dhambi flani akijiombea Toba inakubalika au kufika Kwa MUNGU?
2026-09-21 19:32:12
0
Kaytes James :
Zaburi 13:1 inasema(Ee BWANA, hata lini utanisahau, hata milele?
Hata lini utanificha uso wako?) ndiv ilavo sema hiv hiyo Zaburi unayo isema wew nizabur ipi?
2026-09-09 17:26:34
2
Ummy Mimi :
nakuamini sana mtumishi ulielekeza kuomba kwa Danieli 2:22 hakika niliona ambayo sikuyatarajia
2026-10-02 17:16:13
1
Becka :
mtumishi,mimi nilinyolewa nywele na wachawi usiku,huu mwexi wa pili hazijaota.Nifanyeje pastor?
2026-09-29 17:56:38
1
elizabeth samwel :
amtumish umenisaidiya sana duu nimeomba kumbe Kuna vitu vinanivamia usiku
2026-09-22 09:17:15
1
user9724978107241 :
me naota sana nakimbinzwa na ng'ombe wa tatu tena wanakuwa na hasira ya kuniumiza
2026-09-07 21:54:33
1
To see more videos from user @gcangel1, please go to the Tikwm
homepage.