@islamicswahilinet: DUNIA HII HAINA THAMANI SIKILIZA KWA MAKINI Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 15:52:04 GMT
21567
2786
40
144

Music

Download

Comments

haidar.heda5
Haidar Heda"5 :
maneno mazito sana
2026-09-07 16:52:05
8
user35057416650108
juma :
mashaallah mashaallah mashaallah
2026-09-08 03:31:13
2
kadaawizaa
kadaawizaa :
Umrii thawil inshallah Shekh hamza
2026-09-07 17:48:52
2
hafsa.hafsa4940
Hafsa Hafsa :
Allah atujalie tuwe wenye kpndn maan dunia tnpta
2026-09-08 07:01:06
2
athmanfetty
Dannurren :
Swadakta Sheikh
2026-09-08 08:05:31
1
ameir699
See us! :
maisha yana siri kubwa. tukiwa ktk dunia tusijone kuwa tumefka🥺🥺
2026-09-07 17:22:36
6
user1343873032373
LUZAA 2128 :
wallahii
2026-09-08 04:39:18
2
user8543841631656
Mohzul 💕 :
SubhanAllah
2026-09-07 16:56:03
5
ramadhanmsengajikah
Rams Hassan :
mpe Salam apo nyuma Amani mauba
2026-09-08 08:14:22
1
mr.macha1
Mr macha,, :
khusuni likhatima yarabi
2026-09-08 10:25:37
0
mrafrica196
HON MAITHA :
subhanallah
2026-09-07 21:09:34
2
najma.mbwana009
Najma Mbwana009 :
🥰🥰
2026-09-08 01:01:35
2
omoresh4
omoresh :
💯
2026-09-08 06:44:32
3
ramsimani
RAMS :
🥰🥰🥰
2026-09-08 07:59:17
1
adem.mohammed545
adem mohammed :
❤️❤️❤️
2026-09-07 16:18:42
3
chidy.boe4
RASHIDY... 4545🫡🔥 🔥 :
🥰🥰🥰
2026-09-07 17:40:27
2
mrs.banji6
banji masanyik@ :
@
2026-09-07 18:38:00
2
donsaedy
ᴅᴏɴ sᴀᴇᴅʏ :
🤲🤲🤲
2026-09-07 17:30:10
2
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About