@semakweli_uzito: Ili upate mafanikio kwenye kila kitu lazima ukubali kujifunza ili uweze kupata kitu bora kwa usahihi mkubwa kama unasumbuliwa na changamoto ya kitambi na uzito uliopitiliza kuna mambo yakuzingatia 1:Kujua changamoto yako imetokana na nini 2:Kuheshim ratiba yako katika maisha kuanzia kuamka,kula pamoja na mda wako wa kulala Baada ya kujua hayo yote unatakiwa kujua ni njia gani sahihi ya kukusaidia kutatua changamoto zako kama unahitaji kutatua changamoto hizo karibu nitakushauri jinsi ya kupangilia mpangiliao mzuri wa diet,ratiba nzuri ya mazoezi na kulala vizuri angalau masaa 8 Pia Nasaidia watu kuondoa kitambi na uzito uliopitiliza kwa kutumia program za chakula na mazoezi Kwa msaada zaidi naomba tuwasiliane Whatsaap/Call 0786371278 #weightlossjourney #HealthTips #kitambi #fitnesstips #creatorsearchinsights

semakweli_uzito
semakweli_uzito
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 16:03:54 GMT
463
19
0
2

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @semakweli_uzito, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About