@sauti_ya_umma: kazini Kuna kazi............ #creatorsearchinsight #foryou #trending #foryoupage #sautiyaumma

Sauti ya Umma
Sauti ya Umma
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 16:23:05 GMT
185714
9692
193
198

Music

Download

Comments

pk715336
pk :
who is odemba?
2026-09-13 12:22:04
0
johnluhende5
Ngosha Family💪 :
Mwandishi wa Tanzania ni mmoja tu Odemba🙏🙏
2026-09-08 05:22:49
138
thereal_bigbird187
B⬆️G WIZ187🦅💥 :
akil kubwa ya muulizaji na akili kubwa ya mjijibuji
2026-09-08 07:06:38
97
jaafarjulanda
Al jabri :
kwsni haws ccm hawajistukiii wananchi wanavowachukia 😂😂😂😂
2026-09-08 02:11:38
46
francecollection1
France Tesha :
ila odemba anajua maswali
2026-09-08 15:43:53
21
ney25164
ney :
mwandishi upo vzr ila kuwa makini
2026-09-08 06:47:42
16
sultan_makenga3
sultan_makenga :
hongera sana kenani kihongoz katibu muenezi CCM taifa upo makini kiongozi bora majibu bora akili kubwa tunaenda na mama mpaka 2035
2026-09-09 03:38:42
14
safari.juma4
Safari Juma :
muenezi uko vizuri
2026-09-07 20:23:13
16
tanzanitecomputers
TANZANITE COMPUTERS :
Alekuwa ni
2026-09-09 20:49:36
6
apolinary.mungai
Apolinary Mungai Msele :
Makamu wa rais alisema mapema kwa barua yake kwamba, amestaafu na hatajihusisha tena na siasa. sasa mlipokuwa mnatangaza mmefuta uwanachama mlimaanisha nini wakati yeye alishasema hataki tena siasa?
2026-09-08 12:50:17
12
user3034425512523
star :
uko smart sana mwandishi ndo maana umepewa tuzo🥰
2026-09-10 11:39:45
12
johnson.zk
Johnson zk :
kwaiyo rais hatumbuliw kama rais anayambuliwa kama nani?
2026-09-09 09:31:42
5
elizabenard12
Eliza Benard :
odemba una akili kubwa mno
2026-09-10 04:50:40
7
user6141855201357
taifa moja :
kiongozi anafaa kuwa kwenye nafasi aliyonayo,anaakili kubwa sana
2026-09-08 07:47:34
10
festo.mlekwa1
festo🇹🇿 :
odemba BABA heshima yako ada ya wazazi wako huliitumie kihuakika kabsa 💪💪💪
2026-09-11 12:20:41
5
crisydevimto
herzilish 🔥🤫 :
odemba💯 tena
2026-09-08 19:49:22
4
abiazaryamani
Abiazary :
nakubali sana mwenez wetu hiyo ndiyo siasa ya kisasa zaid
2026-09-08 10:05:42
4
jaafarjulanda
Al jabri :
😂😂kwann hawataki kusema ukweli kuwa kawa mkweli kwa wananchi
2026-09-08 02:15:57
6
user469262068417
𝔸𝕣𝕠𝕪𝕔𝕖👊 :
Umejibu vzriiiii sanaaaaa🥰
2026-09-08 18:44:44
5
timotheokomba
timy komba :
ccm mnajitekenya alafu mnacheka wenyewe.
2026-09-08 01:31:46
5
samsamar56
samasamar :
Mwanahabari ni smart sanaa kwenye maswali anayo uliza
2026-09-10 18:51:19
3
user3527309404882
Azonto :
full odemba nakukubali kaka
2026-09-08 20:09:50
4
cary305
Nick carry305 :
ODEMBA 🔥🔥
2026-09-08 20:49:26
1
deejayzachaa
Deejay Zachaa :
ila ccm hamna kitu
2026-09-10 07:23:31
1
227uriorobson
Raynroys star x :
nichangamoto
2026-09-07 20:46:06
4
To see more videos from user @sauti_ya_umma, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About