@millardayo_: Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Marehemu Hafidh Ameir Hassan, amezikwa leo katika Makaburi ya Kizimkazi, Zanzibar, huku historia fupi ya maisha yake iliyosomwa katika mazishi hayo ikieleza kuwa ameacha Wajane wawili. Historia hiyo pia imeeleza mambo mbalimbali kuhusu maisha ya Marehemu Hafidh, ikiwemo elimu, kazi, familia na hali ya afya yake kabla ya kufariki dunia, huku ikibainishwa kuwa ameacha Watoto wanne na Wajukuu 15. Aidha, imeelezwa kuwa Marehemu Hafidh aliwahi kuajiriwa na kufanya kazi ya Ualimu katika Shule ya Fidel Castro, Pemba, kabla ya kwenda nje ya Nchi kujiendeleza kielimu na baadaye kubobea katika masuala ya kilimo. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Monday 07 September 2026 16:31:10 GMT
Music
Download
Comments
African lady :
mbona amezikwa haraka hivo
2026-09-07 17:00:03
140
Lakinane Muna9 :
Apo kwenye pole watanzania wote me mnitoe 🙌🙌 sipo
2026-09-07 17:46:48
336
starrbouy :
so now mama samia is single😂😂
2026-09-08 06:12:19
0
MUME WA SAMIA ⛎ :
mniache nipumzike kwa aman
2026-09-07 18:09:55
73
رمضن :
sasa sisi mayatima million 60 tunaenda wp jmn
2026-09-07 16:42:04
75
Molly Big Moma 💕✨ :
nauliza rais naye yupo eda
2026-09-07 17:06:43
57
naaa :
macho yangu au yanadanganyaa
2026-09-07 17:04:35
24
official Dior😍 💞 :
mama ndo mke mkubwa au mdogo?
2026-09-07 16:56:15
25
Hellen_fashion_bei ya china :
Amezikwa haraka jaman 🥺
2026-09-07 17:04:58
15
brilliantjunior2 :
Au tuwazike wote si mwili mmoja au
2026-09-07 17:12:22
95
alingo :
sjaelewa hapo marehem ameacha watoto wa4 na wake wawli huku Samia anawatoto wa4 huyo mke wapili hana watoto au Samia watoto wengine hajazaa nae naomba kuelekezwa
2026-09-07 18:20:38
8
🍁RASH GIRL OUTIFTS🍁 :
OFF TARGET 🎯 🥰
2026-09-08 05:34:18
0
Mr promise :
off targete🥺🥺🥺
2026-09-07 22:50:12
0
user9433973461685 :
pole mama samia
2026-09-07 21:03:22
0
immaculatha :
Samia ana make mwenza mm nani?
2026-09-07 18:34:45
6
mamy raykhanat :
ikiwa rais ana mke mweza mm nani nisiwenae🤣🤣
2026-09-07 21:31:26
6
Maasai herbs point :
mke mwingine ni raisi wa wapi vile🥺
2026-09-07 17:10:35
11
lilian edward :
tumekuwa watoto wa singo maza, maskin watz
2026-09-07 17:13:38
19
Leeny🦋dimpoo04 :
alieumia mkono juu😁
2026-09-07 17:44:09
5
Paulina813 :
naomba kumuona Samia akilia jamn
2026-09-07 18:02:29
13
wakujichetua🔵 :
mmnamzika hata haja trendii nachoka mimi 🤣🤣🤣🤣
2026-09-07 17:05:17
23
officialsala :
allaha ampe kauri thabiti
2026-09-07 17:06:18
16
الحب الحقيقي لا ينتهي 🔐 :
إنا لله وإنا إليه راجعون 🤲🏽
Allahumma’ghfir lahu warhamhu, wa ‘afihi wa’fu ‘anhu. 🤲🏽
Ewe Allah, msamehe marehemu wetu, mrehemu, mpokee kwa rehema Zako na umsamehe makosa yake. Mjaalie kaburi lake liwe bustani miongoni mwa bustani za Jannah, na umpe nafasi njema katika Pepo Yako. 🤲🏽
Allah amrehemu na amjaalie Jannatul Firdaus. Aamiin Ya Rabb. 🤲🏽
2026-09-07 17:05:53
34
Kazimoto official madini💫 :
sehem pekee penye taarifa za ukwel na uhakika.....
2026-09-07 16:35:10
27
Domiana :
Kumbe tulikua na nama mwingine na hatujuh
2026-09-07 18:01:36
6
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.