@jambotv_: VIDEO: Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania Bara, Aggrey Mwanri amesema mazungumzo yaliyofanywa na wadau kuhusu hali ya kisiasa nchini yameonyesha mwanga mkubwa juu ya maridhiano na utayari wa wadau katika kupata mwafaka mzuri. Amesema hayo leo Septemba 7, katika Mkutano wa Kitaifa wa Wadau Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliofanyika Serena Hotel Jijini Dar es Salaam akieleza kuwa wakati anafika kwenye mkutano huo alipatwa na wasiwasi akidhani kuwa wadau wangekinyooshea CCM vidole kuwa ndiyo sababu lakini mawazo yalikuwa tofauti. "Wakati nakuja nilikuwa na kahofu kidogo nikafikiri kwamba watarusha mawe CCM bana, chama tawala bana, hii shida yote tunayopata ni CCM bana tulikuwa na Mzee Wasira nikamwambia kama mood yenyewe ni hii unaweza kuwa na uhakika kuwa tuko tayari" amesema Mwanri Ameeleza kuwa chama hicho kipo tayari kwa dhati kuelekea maridhiano ya kweli na kutoka kwenye hali ya mkwamo wa kisiasa.

Jambo TV
Jambo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 16:37:34 GMT
62172
2574
33
38

Music

Download

Comments

banz.tz
banz tz :
speechless
2026-09-08 23:03:26
0
user7928702718791
Arimato :
samia must gooooo
2026-09-07 17:09:46
20
user9409922010198
user9409922010198 :
hamna kitu hapo
2026-09-08 05:28:06
7
mrs.nofel2
Mrs nofel :
solution kila mtu abaki kwao
2026-09-08 08:16:08
6
juma.utaly
Juma Utaly :
U VERY SMART MY DADDY
2026-09-07 21:41:37
5
yohanampenda690
yohana Mpenda690 :
ccm katika hili waliyakanyaga
2026-09-07 17:36:26
13
humorousprofundity
Thinklaugh :
Kwanini uhisi watarusha mawe? Conscience 🙌
2026-09-08 05:36:14
4
joe556724
Joe Swai :
Walimrudisha kwa hajili ya kutia busara zake 😢😢
2026-09-08 07:03:29
2
user19980099703990
mbilinyi :
Samia kwisha
2026-09-07 19:20:59
3
baraka.jastin5
Baraka Jastin :
Mzee
2026-09-07 17:40:00
3
ommychamosi68
Ommy Chamosi :
Hopeless kabisaaaa bado hawataki kufunguka ukweli
2026-09-08 19:57:25
0
chosen.one2683
chosen one :
🧠 100%
2026-09-08 03:47:12
0
user5610991404360
[email protected] :
free lissu is solution, bila hivyo hakuna mnachoweza kutusaidia, katiba mpya. siyo kubwabwaja tu.
2026-09-08 16:13:56
0
mshobozi36
Mshobozi :
🥺🥺 moo juuu kweli
2026-09-08 08:39:14
0
steven.msemakwel
Steven Msemakwel :
U VERY SMART MY DADDY
2026-09-08 17:16:53
0
micky.elias6
dk kagera LAB🩺🏥 :
Anaongea
2026-09-08 04:59:27
0
josephpeterchon30
Joseph Peter :
uy mzee
2026-09-07 18:08:37
2
annamarsmoses
annamarsmoses :
Hakuna mwana ccm mkweli wanafiki tu
2026-09-07 19:28:44
6
theson694
the@sun :
siasa bhana!! mizingo kibao!!
2026-09-07 17:55:16
3
chopa5930
Chopa :
Her face says it all, anawajua wapuuzi ni nani📌
2026-09-07 23:30:32
1
zedtech_pro_solutions
Zed-Tech Pro Solutions :
Sukuma Ndaniiio
2026-09-08 17:45:17
0
annamsangianna
Anna Msangi :
mawe hayarushwi bila ugomvi
2026-09-07 17:47:13
0
danieli7725
danieli :
Sukuma ndani
2026-09-09 04:06:55
0
pws_tanzania
"PRIME WATER SOLUTIONS" :
😂😂😂
2026-09-08 18:20:47
0
falsafachimbala49
Falsafa Chimbala :
☺️😄☺️
2026-09-08 19:28:23
0
To see more videos from user @jambotv_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About