@bbcnewsswahili: Mamia ya raia wa Burundi walifika katika ubalozi wa nchi yao jijini Nairobi, Kenya, Jumatatu, wakitafuta hati za kusafiria ili kurejea Burundi, baada ya Rais wa Kenya, William Ruto, kuagiza kukabiliana na wafanyabiashara wadogo kutoka nje ya nchi. Wakiwa wamebeba masanduku na mali zao mbalimbali, umati mkubwa, wengi wao wakiwa vijana, ulijipanga kwenye foleni ndefu nje ya ubalozi huo. Mwandishi wa BBC @Ahmed bahajj BBC na taarifa zaidi #bbcswahili #uhamiaji #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #burunditiktok🇧🇮 #foryou
bbcnewsswahili
Region: TZ
Monday 07 September 2026 16:37:51 GMT
Music
Download
Comments
Ian le chaser :
Ruto amekosea sanaaa
2026-09-07 16:42:54
89
Kulwa..Jm :
njooni huku kwetu Tanzania 🇹🇿 ♥️tuna wapenda wote.....
2026-09-07 17:02:35
53
linus :
wakenya ni ndugu zangu ila naanza kuwachukia mbona mnaanza mambo ya South Africa
2026-09-07 17:13:28
49
CHAIRLADY WA MURIFE 0768086848 :
imagine sio poa
2026-09-07 20:13:28
0
jeff :
ruto tano tena
2026-09-07 18:16:03
6
bw.sumu :
so sad to watch this as a kenyan🥺
2026-09-07 20:46:06
0
memwaz :
Ruto two term
2026-09-07 20:09:19
0
nurathebosslady2 :
Jamani Ruto amekosea sana,
2026-09-07 19:54:34
0
Blessed Prany. :
ruto umekosa sanaaa bana
2026-09-07 17:53:53
11
gojo_kid :
please my president, withdraw that order,it make the poor to suffer
2026-09-07 17:32:47
15
Kassim Khalaid :
wawache kutesa waafrica ndani ya africa plz ni aibu tu
2026-09-07 17:12:49
31
Peace &Prosper :
Heavenly father saidia Waburundi
2026-09-07 20:38:57
0
Schedule to Sugoi is Active :
You'll be back
2026-09-07 18:06:15
0
Tina Junior🇺🇬🇹🇿🇰🇪🇱🇷 :
hautujua sisi wa Burundi tulikosa Nini mm surely 😂😂😂😂
2026-09-07 17:21:25
9
osmanbonaya :
msijali ruto ako na huruma mtarudi
2026-09-07 19:00:46
3
mohammedhamza177 :
Rais Ruto anacheza karata ya 2027 haya ni maandalizi yake ya kampeni, anajikosha kwa wakenya kuwa anawajali ila hii inaweza kuketa impact kubwa sana kwa wakenya, maana wanaweza kuchukiwa bila sababu, rais atumie hikma sana
2026-09-07 17:28:11
7
Najmah💫 :
so it's only burundi
2026-09-07 18:59:11
1
HALIMA ALARAKO :
hii ni uzuni mkubwa sisi sote ni wapita njia hakuna kitadumu ,
2026-09-07 17:28:56
5
Babe girl :
mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 yangu isifikie huko[Red heart][Red heart][Red heart]
2026-09-07 19:46:15
3
done boy :
syo vzr
2026-09-07 18:53:00
1
Najma :
Jamani sio vizuri😢
2026-09-07 19:18:23
1
Nick Genius :
Mbona tukose hekima kwenye mamuzi kama haya. kumbe nisiku za mwisho
2026-09-07 17:50:57
3
Xs :
Mbona hizi nchi Kama vile zimepokea maelekezo kufukuza watu? 😳
2026-09-07 17:15:32
2
OJ.....Man...001 :
iko swa ...
mm..naona full
2026-09-07 18:55:22
2
Masi Sirya :
hio sio sawa
2026-09-07 18:52:47
3
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm
homepage.