@vdashmining: #creatorsearchinsights #8keffect Dhahabu haichagui ardhi

Vdashjo Investment Co.Ltd
Vdashjo Investment Co.Ltd
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 16:44:59 GMT
243424
8820
188
466

Music

Download

Comments

zoya_net
ZOYA internet :
mimi nina sehemu nahisi ina zahabu ila sio shamba langu inakuaje hapo?
2026-09-08 05:47:14
42
ananiamkasu
Anania :
Kama ni hivyo mbona dodoma wanajengea dhahabu🤔
2026-09-08 04:35:52
23
ngumungu
Rachel designer ♥️ :
na mimi naomba ukafanyie langu lipo katoro lipo karibu na machimbo
2026-09-08 23:11:48
9
salmon_30_3
Salmon :
kwa dar je
2026-09-08 09:27:51
9
_0837949
𝒍𝒊𝒍𝒊𝒂𝒏_𝒑𝒛 :
mtu kapambana kanunua ardhi kakuta kuna dhaabu alafu badae selikali inakujabkuingilia kati apo ndo inauma sana
2026-09-08 08:29:15
9
hotwater185
majimoto73 :
panafanana na eneo langu morogoro mikese, sijui nako ipo!?🤔
2026-09-08 08:55:43
8
mr..kjn
Mr. kjn :
jiwe la kazibizyo lakujengea ila chabo usiambiwe
2026-09-07 18:23:52
14
nassibmkumbi
chidy :
naomba namba ya whtsap na mm
2026-09-09 03:24:00
1
sukumagirl0
it's Me 🙋💚🖤💛 :
mbona haya kwetu mawe tuna yakanyaga tu mashambani😂😂mawe mnatoa yana ng'aaa hatari kumbe tunakanysha dhahabu 😂😂
2026-09-09 20:07:24
4
user80204519486553
Jay One master ✂️✂️ :
dalili za kiama naziona kabisa
2026-09-11 20:10:41
4
munmesi
mnudia :
mm nipo kwenye nyumba yakupanga umu ndani spaelewielewi nataka nianze uchimbaji kule sebleni staki kumshirikisha mwenyenyumba nataka iwe sri yangu na mkewangu ila mkewangu tukigimbanq kidogo tu ananambia atanisemea kwa mwenye nyumba
2026-09-08 06:18:32
5
pollyjoy58
Paula meire :
SIRI,SIO SILI😁
2026-09-10 21:17:14
1
vinynjoroge
vinynjoroge362 :
mimi nimekwama Kwa sunset 🌇 lovely
2026-09-11 18:16:55
3
k3vovic
k3vovic :
Nina eneo Tarime kama heka mbili..kuna sehemu nahisi kuna dhahabu...ila sina uhakika...naomba direction
2026-09-08 15:38:19
1
mamag6049
MamaG :
Mimi nitakuita tender Simiyu shamba la Mama yetu waligawiwa la urithi. Dalili ni mtu gani huo uliopnyesha
2026-09-08 09:57:34
2
user6269451324287
user6269451324287 :
Nina mgodi naitaji muwekezaji
2026-09-08 19:33:00
3
user6126371998466
tony's97 :
dah tuliacha dhahabu ibondo😔
2026-09-15 20:30:34
1
sindichep
sindichep :
kuna shule nilikua naso siwezi amini nilikua napenda kucheza sehemu moja ilikua karibu na choo ila mchanga wake ulikuwa ata mm unanishangaz unawaka na rangi ya dhaabu nilikua sijui baada ya kumaliza tu shule miaka 4 mbele shule yote imebomolewa na saizi wameweka bann private minings 😅😅
2026-09-12 16:25:52
5
baba.zuu93
baba zuu :
saloot kwako
2026-09-08 23:53:45
1
the2ndjoh
jojos :
tuma namba huku Katavi
2026-09-09 14:17:50
1
user9697581963515
JPM,,"@Tz :
kak nipe location nijekuchimba
2026-09-09 16:35:57
1
mr.nchagwa
mr Masiro :
mbna kama mkoa wa mara hapo
2026-09-08 22:57:21
1
r6kipepeo
minah kpepeo🦋 :
kumbe hata pale nilipokua nikichimba mawe ukute ndhahbu zipo, mwak2016 mimi namdog angu tulkua tunchimba chimba Sehem basi ile Sehem tlkua tukivuna kokoto nyekundu yani tulipata kokoto viloba sita n bado zilkua zikitoka zaidi za rangi tofauti Dah 🥺 sasa sjui dhahabu zile
2026-09-10 18:57:08
3
sir.jaruu
Jaruu Tz :
shukurani sana broo tunapata elimu bora kabisa
2026-09-08 15:09:09
2
stansix_director
Director_Stansix :
umenipeleka mwabula namba 9 kaka nimepata duara nakarbia kurudi kuchimba nilikuwa na mkenya Asante bro
2026-09-08 08:28:20
1
To see more videos from user @vdashmining, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About