@allysa9279: chuma iyo apo ya TANGA DAR 30,000 kwa 45,000 NI KILA SIKU

Allysa9279
Allysa9279
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 16:54:12 GMT
50656
1760
75
61

Music

Download

Comments

86seif
Abuu suhaylah :
full enjoy hii bus
2026-09-10 09:57:24
0
user8383734337992
Miss mwana💕 :
Mbona gar ya dodoma tanga siyo nzur hiv mtubadilishie jaman 60k nikubwa
2026-09-08 06:09:31
4
shaymahmamy
☣☣☣ :
mwanzo nkajiuliza , hii ni gari au ndege
2026-09-08 11:43:03
3
salahalasad84
Salah Al Asad :
bus gani hii
2026-09-07 19:53:20
1
mariam.balongo3
Mariam Balongo :
RATCO ni gari nzuri ila mwendo hazina unakaa mpaka unachoka
2026-09-09 17:46:08
2
user7912614988854gift
da tuu :
dar inaondoka saa ngapi kwenda tanga
2026-09-09 08:46:43
2
kasm3631
&kasm@363💕💕 :
naitak hii
2026-09-08 08:59:38
0
mtukazitz
mtukazitz :
kwetu Lushot ila hii ntaipanda t naenda mpka kange alfu nikifka nachukua cost mpka milimani kwetu😂😂😂😂siwez acha kupand ndege mmi kisa sikai Tanga mjini
2026-09-09 15:49:17
1
user44257238848061
mrpweza :
kwa temeke napandia wapi
2026-09-09 10:07:22
0
user8323183439868
msm :
gari gani iyo mbona ipo vizur
2026-09-08 12:28:39
0
baajun8
Isaac Bajun :
Kampun gan?
2026-09-10 10:52:43
0
missesha19
Esha_lengesha :
nilipata Ratco 2020 tena v.i.p haikua hvyo..,sipo Tz ila ningepanda🤣🤣🤣
2026-09-09 11:37:49
0
mishi.bomba5412212
Top in Tanga :
gari gan xx nipe no,nikija nikupigie mana natokea Zanzibar
2026-09-09 01:21:08
0
narhaheinna
Narhaheinna :
Inaitwaje hii gari na tanga kituo chake ni wapi
2026-09-08 12:33:41
0
hasna.sadick
User22713331252 :
Gari kari daah mbona, nimewahi kurudi JAMANIII, naomba kaz niwafutie vioo tu na dawa, pazia safi choon safi, 30000 nauli au 45000? sijaelewa
2026-09-08 10:12:01
0
kiriba87
Kiriba :
Kwa tanga ofisi zak znapatikana wap?
2026-09-09 16:04:50
0
b.b.b.b.b.b201918
a.a.a.a.a :
ratco ndio fani ya wana tanga, kama ilivyokua raha leo miaka ileee
2026-09-09 06:40:38
1
dizooboy
Dizoo boy :
kutoka 25 hadi 30 aisee
2026-09-08 19:59:17
1
rehemamdoe782
Rehema Mdoe :
Asalaam alykum naomben kaz ata ya kufuta vumbi na kufagia kwenye gari
2026-09-08 07:23:13
1
sammytasty_food
sammytasty_food :
Alafu abood yeye kafanya gari yote VIP na nauli ni moja sijui kama anapata faida bora huku kama ndege mnatenganishwa na pazia
2026-09-09 00:17:31
0
siwachengula
Siwa Chengula :
gar pambe xan na inaenda na mda xan
2026-09-10 15:31:02
0
missesha19
Esha_lengesha :
mi nilijua ndege wallah🤣🤣
2026-09-09 11:36:45
0
mamulove41
@mamulove# :
mmmh ndohiii niliopanda au nyengine jmn
2026-09-09 05:57:01
0
tawale766201
Ebenezer tawale :
Gari zuri sana wapendwa
2026-09-10 04:41:43
0
potnajoseph
🧭Q🧭 :
yani hapa tatizo langu nimoja tu lce jaman siiwez
2026-09-10 17:23:43
1
To see more videos from user @allysa9279, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About