@mansamussaxivcom: Watanzania hamjui hesabu… au tunapenda hela ila hatupendi kuhesabu? 😂 300K kwa mwezi. Miaka 27. Average return ya 15% kwa mwaka. Result? Zaidi ya TZS 1 BILLION. Na sehemu kubwa ya hiyo hela haitoki kwenye 300K unayoweka kila mwezi. Inatoka kwenye kitu kimoja ambacho wengi wetu hatukipei muda wa kutosha: COMPOUNDING. 📈 Pesa yako inatengeneza pesa… halafu hiyo pesa nayo inaanza kutengeneza pesa nyingine. Nimetumia UTT Umoja Fund kama mfano kuelezea hii hesabu. ⚠️ Of course, 15% sio guaranteed kila mwaka. Returns zinaweza kupanda au kushuka na past performance sio guarantee ya future results. Lakini swali langu ni hili: Kama kijana wa Kitanzania, unaamini unaweza kujenga utajiri taratibu kupitia uwekezaji kama UTT… au unaona hizi ni ndoto za Abunuwasi? 😂 Andika “NIMEELEWA” kama compounding sasa imeingia kichwani. Na kama bado hujaelewa… like tu, tutajua hesabu bado zinakusumbua. 😭😂 #UTT #Uwekezaji #FinancialLiteracy #MoneyTanzania #Compounding