@dr_daniel_md: 🍽️ KULA CHAKULA KINGI KWA MPIGO SIYO AFYA! Kula kiasi kikubwa cha chakula kwa wakati mmoja kunaweza kuleta usumbufu wa mmeng’enyo wa chakula, kuongeza ulaji wa calories kupita kiasi, na kwa muda mrefu kuchangia kuongezeka kwa uzito na matatizo ya afya. 👉 Afya siyo kula mpaka ushibe kupita kiasi — jifunze kula kwa kiasi na kwa mpangilio. 🎯 Kula vizuri. Kula kwa kiasi. Linda afya yako. #Afya #Lishe #Nutrition #HealthyEating #DoctorDaniel
je kwa mfono,nime nunu karanga, tende, tangawizi, kitunguu thaumu, ndizi, karoti, mdalasini na nikavisaga pamoja kama juisi na nikaweka kwenye friji nikawa nakunya kidogo kidogo je hii inamadhara au vipi?
2026-09-15 18:21:16
0
NGOSHA Ɛxclusive🇹🇿🏠🛖 :
napenda kuuulza doctor kunywa maji immediately after kula huwa ni sahihi na kama sio sahihi ni kwa mda Gani naruhusiwa kunywa maji baad ya kula?
2026-09-08 11:04:25
1
The god son :
Kaka mm nina dukuduku wale wanaotupa mafoili baada ya kula chips wapunguze pilipili wanatutesa
2026-09-08 04:42:00
2
user547302343727672 :
Asante lakini kwanini haupendelei maziwa??Naomba kujua kuna tatizo ukitumia maziwa
2026-09-07 20:46:34
0
Rozena :
HATARI
2026-09-08 05:36:44
0
herimornchriston7 :
visinia sio Kila siku n mara Moja Moja sema tu sisi tunakula sana carbohydrates kulingana na uwezo wetu ndio shida
mbona buffet iko miaka mingi na wanachanganya vyakula kama visinia na hakuna shida
2026-09-09 17:45:04
0
RAHEL NDALAHWA :
Dr kwanini maziwa yazuie madinu ya chuma kumeng'enywa kutoka kutoka kwenye mboga za majani?
2026-09-08 12:19:50
0
jackie Enock :
safi sana Dr Daniel
2026-09-09 06:35:47
0
Zubeda Kapolo :
Unatunyanyasa sana wew kaka kwakweli
2026-09-08 17:47:33
0
subira :
asante sana
2026-09-16 12:16:58
0
RAMSONNY TZ :
kaka nimeanza kukufatilia kitambo sijakufollwo ila reo nimekufollw
2026-09-18 06:40:23
0
السيف لقتل مهرطق :
sasa kweny shereh tunalazimishwa kucheza...sasa usipokula hivo ukashiba unafkir nguvu ya kucheza unaipata wapi doctor??!!
2026-09-09 07:59:08
0
TATA :
sasa hapo kwenye ugali samaki na mchicha kuna aina ngapi za vyakula kama sio zote? msitufanye tuishi kwa wasiwasi bhanaa
2026-09-08 19:14:57
0
Jacob Malugu :
kwamfano ugali wali ndizi ngano vyote vipo kundi moja sasa kama vipo kundi moja wanga . kuna aina nyingi za fati
and etc . iweje sahani moja ya hiyo mochanganyiko ilete madhara. mfano sahani ina wali ndizi tambi gimbi vyote ni wanga tukienda mboga nyama ya kuchoma samaki maharagwe vyote ni protin
kuna mboga za majani....
sasa kama vyakula vinakuwa kundi moja aina tofauti tofauti ya chakula...
kwanini vilete shida ndani ya tumbo japo vipo kundi moja
2026-09-07 17:46:52
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.