@debabaz88: Dua ya Istikhaara اللَّهُمَّ إِنِّي أَسْتَخِيرُكَ بِعِلْمِكَ، وَأَسْتَقْدِرُكَ بِقُدْرَتِكَ، وَأَسْأَلُكَ مِنْ فَضْلِكَ الْعَظِيمِ، فَإِنَّكَ تَقْدِرُ وَلَا أَقْدِرُ، وَتَعْلَمُ وَلَا أَعْلَمُ، وَأَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ. اللَّهُمَّ إِنْ كُنْتَ تَعْلَمُ أَنَّ هَذَا الْأَمْرَ (وَيُسَمِّي حَاجَتَهُ) خَيْرٌ لِي فِي دِينِي وَمَعَاشِي وَعَاقِبَةِ أَمْرِي، أَوْ قَالَ: عَاجِلِ أَمْرِي وَآجِلِهِ، فَاقْدُرْهُ لِي وَيَسِّرْهُ لِي، ثُمَّ بَارِكْ لِي فِيهِ. وَإِنْ كُنْتَ تَعْلَمُ أَنَّ هَذَا الْأَمْرَ شَرٌّ لِي فِي دِينِي وَمَعَاشِي وَعَاقِبَةِ أَمْرِي، أَوْ قَالَ: فِي عَاجِلِ أَمْرِي وَآجِلِهِ، فَاصْرِفْهُ عَنِّي وَاصْرِفْنِي عَنْهُ، وَاقْدُرْ لِيَ الْخَيْرَ حَيْثُ كَانَ، ثُمَّ أَرْضِنِي بِهِ. Maana yake kwa Kiswahili Ewe Allaah! Hakika mimi nakuomba unichagulie kwa elimu Yako, na nakuomba unipe uwezo kwa uwezo Wako, na nakuomba katika fadhila Zako kubwa. Kwa hakika Wewe una uwezo nami sina uwezo, Wewe unajua nami sijui, na Wewe ni Mjuzi wa mambo yote yaliyofichikana. Ewe Allaah! Ikiwa Unajua kuwa jambo hili (litaje jambo unaloliombea) ni kheri kwangu katika dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au katika mambo yangu ya sasa na ya baadaye, basi nilipangie, nilirahisishie na uweke baraka ndani yake. Na ikiwa Unajua kuwa jambo hili ni shari kwangu katika dini yangu, maisha yangu na mwisho wa jambo langu, au katika mambo yangu ya sasa na ya baadaye, basi niliondoshee na uniondoshe kwalo. Na nipangie kheri popote ilipo, kisha uniridhishe nayo.#views #islam #viralvideos #islamic_video #dua
De Babaz
Region: KE
Monday 07 September 2026 17:12:22 GMT
Music
Download
Comments
Zainab Abdulkadir :
S.A.W
2026-09-07 20:13:53
2
Mariam Salim :
Allahu akbru
2026-09-07 18:25:32
2
Ayesha saido72 🇰🇪🇸🇦💕💞💙 :
subhanallah
2026-09-07 19:09:54
1
De Babaz :
Subhanallah
2026-09-07 17:33:24
0
To see more videos from user @debabaz88, please go to the Tikwm
homepage.