huu ni ujinga wa kiwango cha juu, hiz folen ztaishaje? kwala inafanya kaz gan?
2026-09-07 18:25:15
3
Ngonifaceless channel :
Mkuranga bado kuna mapori mengi
2026-09-08 02:47:48
3
Kemmy Rwechungula Francis :
Alisema atakaye kataa ipo halmashauri ndiyo yenye mamlaka atapambana na sheria.
fafanuani vzr.
yasiwe yale ya TTCL mwaka 1994 wafanyakazi wakastaafishwa mpaka leo hii hakuna walicho ambulia.
2026-09-08 05:20:22
1
Shabiru Mwarubain :
Eeeeeeh kwenye iy kilakala nimefulai maan vijana weng uku awanaga kazi hii inawez kukomboa jaazi
2026-09-07 18:43:13
1
Simeon mogravic 🪖🪓 :
watoe kirwa road police waweke ICD
2026-09-08 21:19:16
0
Bin uzi :
Kwan Bandar ya Kwala iliwekwa kwa ajili nini..?
2026-09-08 07:08:56
0
JVM entertainment for all :
Lakin msifanye vitu kwa kukurupuka subilieni mtakuja kujua kwann makotena hayatakiw mijini pia bandar kavu hazitakiw maeneo ya makazi hivyo watu wanajaribu kuondoa hadha ya usafir kuweka msongamano hiyo ingekuwa vizur mngewaachia mipango miji na watalamu la usafirishaji (LOGISTICS)
Nendeni mkasome logic and reasoning haiwezekani kuingia kwenye kwenye uwekezaji yaani kutumia fursa bila kupisha eneo au kuuza nyumba yako.
2026-09-07 21:16:07
0
Kumba Junior :
Sina hakika kama huyu mkuu wa wilaya na hizo takwimu zake kama atabaki kwenye hiyo nafasi yake zaidi ya mwezi mmoja,
Ngoja bi mkubwa atoke msibani.
2026-09-07 19:53:35
1
Kufa lazima :
Natamani kulia ira ainisaidii kitu sasa foleni ya maroli itaishaje yaani Tanzania kumamayo inachosha
2026-09-07 18:56:42
2
Mazira The Great :
Kwa mpango huo wa temeke Kulikuwa hakuna Ulazima wa Serikali kutumia fedha nyingi UJENZI WA BANDARINYA KWARA..... Kwa myamo wangu Huo Ni mpango wa MATAJIRI wa Dar kuto Kupeleka Mizigo KWARA kuepuka Ghalama ya Kupeleka Mizigo na Ushulu wa Mzigo kukaa KWARA.
Na raia hawawezi Lazimishwa kuhama Ila watahama wenyewe kutokana na Kelo na Athari za kuwepo Bandari Kavu kwenye Maeneo ya Makazi.
Kama mtoa tamko alikuja na wazo hilo mwenye basi Hakufiria vizuri wazo lae na
Kama wazo hilo aliletewa mezani na MTU mwingine basi Alilishwa pasipo kutafna mana Hilo ni wazo la MATAJIRI wenye akili ndefu na Mkakati mrefu
2026-09-07 19:05:12
2
brianmatwema :
Poor planning leads to frustration. And exposure. Sasa hii imeexpose akili za vilaza wanaoongoza watu
2026-09-07 19:35:09
1
manvet :
Kwala = ela zime tupwa bure😂😂
2026-09-08 23:06:11
0
dunduka madunduka :
Foleni ni changamoto jijini bado badala muendeleleze maeneo ya wazi mnataka kuhamisha watu mwisho wa siku mtawalipa eneo litakuja kubaki kama kule pekasi kawe
2026-09-08 06:24:13
0
luangilahemedi :
[Power][Power][Power]
2026-09-07 18:19:19
1
Easy Go Group Company :
🥰🥰🥰
2026-09-08 11:29:56
0
Sakaya Lobebeki :
🥰🥰🥰
2026-09-08 07:17:50
0
To see more videos from user @mcshondelive, please go to the Tikwm
homepage.