@darwatelectrics: Tumeandaa points mbalimbali ndani ya master bedroom hii ya mteja wetu kwa ajili ya matumizi ya baadae akihitaji. Points hizi ni :- 📌 TV unit 📌 Surveillance unit 📌 AC & Fan points 📌 Power outlets 📌 Bed switches Karibu @darwatelectrics Kwa kazi safi za umeme wa majumbani na viwandani. Tunapatikana Dar es salaam na tunafika mikoani na nchi jirani pia. Tuwasiliane kupitia:- ☎️+255653535595 . . . #fundiumeme #tanzaniantiktok🇹🇿 #zanzibar #wiring #daressalaam
daa ila ma eng wa civil muko wapi hawa mafundi umeme wanakata sana tufali hii ni asari kubwa
2026-09-08 19:25:12
0
moxamedi amini :
bei zenu zinakuaje
2026-09-08 05:59:12
0
Choum Ahmed K :
siwafik mtu ameshatandika kitanda chake, anataka kutoka analazimika kuoanda kitanda kuzima taa au feni au AC. taa na feni ni lazima ziwe kwenye two way switch
2026-09-07 18:44:09
0
Mgavi :
safii mkuu
2026-09-08 16:00:17
0
moxamedi amini :
bei gani chumba na sebure
2026-09-08 05:59:39
0
Travel..26🇹🇿 :
🔥🔥🔥🔥
2026-09-08 11:10:22
0
To see more videos from user @darwatelectrics, please go to the Tikwm
homepage.