me nilikuw nafukia kwen mchanga na weka kijiti kam alama af nawaita wenzangu nasem tuchimbe kun hela😂😂😂
2026-09-08 14:56:59
211
Doryn M :
😂😂😂 rubeni umenichekeshaaa. ila me niliiba elfu 10 imekaa sikuv2 imegoma kuisha nikatupaa
2026-09-07 18:33:50
124
Lilly luxe Mitumba store :
kwa mara ya kwanza hakika kanichekesha had machozi 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-11 20:50:05
14
baby mama :
niliiba elfu mbili kufika dukani kumbe zimeshikana ni elfu nne SASA nkamwambia mwenye Duka naomba big bomu ya Mia mbili khe ananiuliza hela yote hii big bomu alooo palepale nkamwambia nipe sukari nusu alooo niliweka kwenye begi la shule tukipewa uji shule naweka sukari ndii nawagaiya na wenzangu wapi aaaah WWE nkaenda kutupa iyo sukari na chenchi iloyo Baki nilichimba shimbo nikaiweka humu Yani chenchi nimeweka kama Leo jioni usiku Ake kumbe ilinyesha mvua ya maana asa shimbo sikuchimba kubwa hee asubuhi naamka nakutana na manyoya hata kale kashimo hakajulikani nilishinda na huzuni siku Ile acheni tuuu😂😂🤣🤣
2026-09-07 19:42:52
82
𝓜𝔂𝓷𝓲𝓬𝓲𝓸𝓾𝓼❤ :
😅😅😅😅ila leo nimecheka
2026-09-07 18:28:11
96
chippy :
iv hakika unataka kuniua Kwa kucheka
2026-09-07 17:42:20
62
faroner :
an kuna vtu havizuilik kucheka jmn
2026-09-07 18:33:45
36
Furaha :
Ujue umenichekesha sana kwanini uwanunulie nazi Za pakit 🤣🤣🤣🤣
2026-09-08 07:29:00
34
mtot iddy :
lkn saiv hela haitosh
2026-09-07 20:14:18
14
og Bruno :
10/10 kwa uwaminif nalip
2026-09-08 18:07:13
7
Wisdom of the ages :
jamani mimi jiucecola za hamsini na mandazi
2026-09-17 17:25:24
6
Aisha saidi :
waskuizi hawatupi Wana save😂😂😂
2026-09-09 19:42:22
5
🦋♥Berly Raphez♣Tz🦋🌸 :
Yani niliiba Jero hadi chenchii nikaizika kweny Shimo ciku naenda chimbua cjaona😂😂😂
2026-09-08 06:37:13
5
Mr Jm protocol :
MAMA ANGU ALIKUWA MWALIMU WA KIKOBA KWAIYO HELA ZA VIKOBA NIMEPITA NAZO SAN😂😂😂😂
2026-09-07 19:05:48
7
zaRy🦋 :
Asante kwa kunifanya nicheke mpk nipaliwe 😅😅😅
2026-09-08 07:06:02
13
Mrs Vinic💫🌠 :
😁😁😁😁 jamani mimi nilikuwa naiba nahazihishi adinatupa ela mwe 😁😁
2026-09-08 10:09:19
16
Luvlisa🌸❤️ :
Me nilikuwa naenda kununua baraf na elf kumi wananipelek kwa mom nilikuwa sisikii😂😂
2026-09-07 18:31:16
30
@soul anita :
sema tu hamn voice note humu kwa mara ya kwanza nimekuona upo serious
2026-09-08 01:04:53
23
MRG :
🤣🤣🤣nachoka mimi😅🤣🤣🤣
2026-09-07 18:31:56
10
MAMKACHU🌀 :
Nkasahau nkajua ni wasap nlitaka nicheke kwa voice note😂😂😂ila aibu ad kwenye kuchapana khaaa hakika😂🙌🏽
2026-09-07 17:49:26
17
To see more videos from user @hakikaruben, please go to the Tikwm
homepage.