@bakesgalore: A very lemony cake 👌🏾 Ingredients / Mahitaji: • Flour/Unga – 200g • Butter/Siagi – 200g • Sugar/Sukari – 200g • Baking Powder – 1½ tsp • Eggs/Mayai – 4 • Milk/Maziwa – 80g • Fresh Lemon Juice/Juisi ya Limao – 40g • Zest of 5 Lemons/Maganda ya malimao matano • Yellow Food Colouring/Rangi ya Njano ya Chakula – 1 tsp • Lemon flavor - 2 tsp Enjoy the recipe 🫶🏻
Bakes Galore
Region: TZ
Monday 07 September 2026 17:32:58 GMT
Music
Download
Comments
Milo 😍 :
Inawezekana kutumia mafuta ?
2026-09-08 17:57:27
0
Anayah :
samahni unaweza kupika lemon cake na kuweka Radha ya vanila
2026-09-08 06:58:38
1
Da Tinah :
2026-09-10 17:23:50
2
nawriyah :
mbona mm nikiweka lemon zest hua ina ukakasi flani
2026-10-28 13:19:44
0
baker :
cake yangu inaugural upande wa juu
2026-10-10 15:35:03
0
lasty gal :
umetumia food color ya kawaida ama Kuna yakutumia kwa cake
2026-10-23 19:37:38
0
jannellcollection :
Jamani naomba kuuliza kama ninaweza pika keki bila mayai Mimi na mayai hatupatani
2026-10-13 08:34:05
0
Becky Bakers 👩🍳 :
hizi vipimo ni za keki size gani tafadhali
2026-10-08 09:47:57
0
sophia Paul :
Asante kwa recipe my bd ya chungwa 🥰
2026-09-11 21:56:08
1
Edah Tella :
so nice
2026-09-07 20:35:11
0
jackline_nyahega :
haifai kukoroga kwa hand mixer
2026-10-04 09:06:29
0
fatmakhelef3 :
ubarikiwe sana🌺🌺
2026-09-08 16:54:06
0
mrs sulyman :
mbona mm nikipika kekihaiwi nyeupe inakua ya braun
2026-09-12 11:16:32
0
vedastus _mrs :
sorry mmy umesema unga nusu. ni nusu kilo au sijaelewa maana naona unga wako mdogo
2026-09-30 12:42:39
0
evvy yummy cakes :
Nakupenda ww dada🥰endelea kutupa maujuz😇
2026-09-09 06:46:28
0
nato :
asante kwa recipe nzuri
2026-09-14 09:10:41
0
Edah Tella :
mm natamani kujua ukiwa Una pika zaidi ya hicho kipimo ulichotupatia unadouble vipimo ama?
2026-09-07 20:36:34
0
Bakes Galore :
Enjoy 🫶🏻
2026-09-07 18:43:02
0
LEON CAKES AND YOGHURT :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-11 11:13:39
1
Tripplegcake🌹🇹🇿 :
😍😍
2026-09-27 15:54:01
0
It’s Kim🦋 :
@moizê Usega
2026-10-04 10:27:53
0
To see more videos from user @bakesgalore, please go to the Tikwm
homepage.