@bingwamagariused:

BINGWA WA MAGARI USED
BINGWA WA MAGARI USED
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 18:39:06 GMT
25395
1220
36
28

Music

Download

Comments

geichawilbert
Geicha Wilbert :
alafu ikifika huku tunauziwa milion 80 daahh sijui tutapona lini akili🤣🤣🤣
2026-09-08 06:47:23
2
honestmsafiri5
honest juma . :
na ushuru itakua bei gani boss
2026-09-07 19:24:25
2
vins_autotech.sln
vins_autotech.sln :
hyo mpya Yan 0 milage ama
2026-09-09 15:30:53
0
abdulsamad.suleim
Abdulsamad Suleiman :
ya mwaka gani ikowapi ushuru sh ngapi
2026-09-08 06:48:16
1
captain.ega3
Captain ﷺ :
sio mpya hiyo imetembea km zaidi ya laki 2 na nusu
2026-09-11 08:50:39
0
sailoritiker
sailorItikerOutlow :
Leo mbona utaji rand ngap tajilii😄😄😄😄🇿🇦🇿🇦
2026-09-08 20:37:04
0
demaro92
De maro :
Eeh mungu nipe kama hii🥹🤲
2026-09-07 18:55:01
0
samdana05
Tabora one honey :
Hapa kaka unavita kali sana ila wewe ni dealer wa wanyonge kaz yako haina makandokando nilikuwa sina mpango wa kununua gari ila itabidi niagize kwako😅
2026-09-08 15:54:09
0
ndudq.scoten
Ndudq scoteN! :
Na Laki8 Uko Haipo Bingwa😂😂
2026-09-07 20:01:43
0
troye_elly
troye_elly☘️😈💫🪐 :
ko ushuru 15m jumla inakuu 50m
2026-09-08 07:05:50
1
suddeman9706
SAS04 :
😂😂Dahh bingwa unatuonyesha Kuwa kuna watu hawataki tumiliki gari🤣🤣🤣
2026-09-08 12:38:18
0
oseph673
oseph :
kaka naomba kazi kaka
2026-09-10 16:19:59
0
daudphilips
Davidphilips24 :
Bingwa umetisha
2026-09-08 05:27:12
0
apple.user55438856
Lamaga Elution :
Tusanue
2026-09-08 06:45:10
0
usikose___fursa___hii
Usikose Fursa Hii :
Nitasafiri nitanunua uko uko nitahamia uko uko nisilipe ushuru
2026-09-08 16:22:15
0
user7539053192331
innocent Kessy :
why ushuru wa baadar unazidi gharama kiwandani shida ipo wap hapo yaaN mtu ametengeneza mwenyew mpka anauza bei pow ila ikifika bandari ndio balaaaa
2026-09-09 07:21:25
0
madolax07
madolax 💵 :
Bingwa tuilipie 30ml alafu tuiache uko uko nitafute hela ya ushuru hii imekaa kitalamu au?
2026-09-08 11:45:25
0
mngazijashafi
Mngazija shafi :
bingwa nakuja kununua ist kwako ulisema kila mtu awe na gari nikiwa na maisha mazuri nitavuta Gwagoni kwako apo apo
2026-09-08 14:58:08
0
mosessammyshao
Mr. Mercedes :
Bingwa tunakutegemea wewe ndio utatuokoa na waongowaongo🙏🙏 ubarikiwe mkuuu
2026-09-09 13:55:17
0
babrays
~Bry🔹 :
DISCOVER 4 bhn ni gar nzuri safari nini unapata Kila ki2 ila NI MBOOVUUUU KMMK GARI ZA MWAKA2009 _2014😂😂😂 IKIJA TZ NA JOTO HILI ZINAKUNYAAA😂
2026-09-07 20:47:49
0
julyaahchogga
julyaahChogga :
waongo waongo cosmetic inakuja😂😂😂😂😂😂
2026-09-08 07:39:55
1
heem.papilon
Heem Papilon :
wajivuni wanatafuta pakujificha😂
2026-09-07 21:24:11
0
prince.k097
Prince K :
🥰🥰🥰😳😳😳😳😳😳😳😳😳😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂
2026-09-10 19:48:47
0
phbarakah.bmk.alu
Phbarakah bmk aluminium :
🔥🔥🔥
2026-09-09 05:36:29
0
matthews_nkondola
Matt J.😎 :
🔥🔥🔥
2026-09-07 20:14:40
0
To see more videos from user @bingwamagariused, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About