mbk kwa hilal jmn kwan tumekosea nn mhind jmn daaa kil sk saiv mm t😭😭😭
2026-09-07 19:23:23
2
. Askofy. :
kanji halijui hilo kama mmefiwa😂😂😂
2026-09-07 19:30:19
1
Josiah Aledy :
oya hao sasa ndo wamepita na tren lang
2026-09-07 21:20:17
0
Vam official :
Au na madrid kesho atapigwa😂😂😂😂😂
2026-09-07 20:59:55
0
King Lion :
hii ya leo nayo imetisha sana😁😁😁🇬🇳
2026-09-07 21:04:14
0
My story really life✊✊🫡 :
amn kitu
2026-09-07 21:48:42
0
Youri_shadow_x9 gamer efootbal :
Nilikua nasubir kwa ham 😂😂😂😂
2026-09-07 21:31:18
0
Mr Chala Tz :
ila mwanangu hicho kicheko chako 🤣🤣
2026-09-07 20:30:15
0
Dazzle Kaizer :
@Tulo128🤴🤴:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-07 22:47:09
0
yahadramadhan15 :
natoka ivo ivo huyo
2026-09-07 20:30:45
0
Method :
kweli kabxa kiongozi
2026-09-07 20:46:10
0
Mathias Home Decoration Desgn :
nimeliwa hela nyingi asee
2026-09-07 19:32:15
1
THE DOPH :
nacheka kama mazuri uzuri nilikuta limesha anza kwahyo nimepona
2026-09-07 20:55:19
0
James..Paschal Tz. :
dah
2026-09-07 19:05:23
0
To see more videos from user @sativa255_, please go to the Tikwm
homepage.