@rollyfact123:

@Rolly.....fact
@Rolly.....fact
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 19:02:51 GMT
46842
4030
32
175

Music

Download

Comments

user6657300624442
Mis Maah :
uongo hbna
2026-09-08 05:53:01
2
45mbuzz
GOAT 🐐 :
sio kwel kwasababu maamuzi anayochukua mtu akiwa na hasira au akiwa na further Hua sio sahihi
2026-09-08 03:29:42
11
user7508633549601
Ally10 :
nakubaliana nawe name nipo hivyo
2026-09-08 09:12:20
1
drdre.7777
Dr.Dre :
cyo kweli bana usipotoshe,
2026-09-08 07:08:00
3
aisha.baby80
Aisha baby 🦋😍❣️ :
amna bhn m nishawai mwambia nikiw na asila uku nampenda sn na mpk leo nazid kumpend natup san 😁😁😁
2026-09-08 07:53:02
1
de..zox
De.. zox 👑 :
🫡🫡 daah umechelewa kuniambia yamesha nikuta teyar🥺🥺
2026-09-08 06:48:04
3
rosejosephu269
Rose Josephu :
UKWELI ikohivi anaposema tuachane hiyo hasira tu upendo 🥰🥰bado upo nandio maana wana sameheana wanaendelea na mausiano anaetaka kuondoka harudi nyuma tena hayo ndio mausiano
2026-09-08 06:39:14
1
fedrickjeremia732
Fedrick Jeremia :
ni kweli kak
2026-09-08 05:22:59
2
jakwinmtweve
Jakwin Mtweve :
sahih kak[Pray]
2026-09-08 05:25:39
1
zuuh583
zuuh❤❤ :
kweli akiwa na hasira au akiwa amelewa
2026-09-08 06:25:04
2
general.mak
general maktz :
uuuuu ndio ukweli ambao wengi wataukataa☺️
2026-09-08 07:16:25
1
gazally.a.k.a.kidi
gazally a.k.a kidika :
hakika bn
2026-09-08 04:28:41
1
faustin.alphonce
Faustin Alphonce :
nikweli kka
2026-09-08 03:41:04
1
ayoubu.swaibu4
Ayoubu Swaibu :
usiku atakwambia tena muachane kwa sababu halisi wa mwanadamu anaweza kuonyesha pale anapokuwa ana hasira kwa sababu anazungumza pasipokuwa na uoga wala kama aliwahi kukuambia tuachane alipokuwa na baada ya hasira zake kuisha wote mkajisahaulisha
2026-09-08 03:29:58
2
user7947110040917
lovely ebrahm :
hakuna maamuz ya hasira ambayo yanakuwa sahihi kaka mtu anekuambia kitu akiwa normal yule ndo anamaamuz sahihi ndo mn unaambiwa hasira hasara
2026-09-08 07:52:31
1
simbazuuh
Miss Simba :
Asantee Umenifuna kityu ilasiwezi kuongea Wata View Account yang
2026-09-08 05:17:38
1
captainistanbul7
Istanbul💣 :
Uongoo
2026-09-08 08:05:17
1
samuel.mwimbwa6
samuel mwimbwa :
Hasir haijawah kua na maana nzur,na maana ya hasir ni hasara,na ndio mana hata katka vtab vya din wameandka kwmbaaa,usiwe mwenye hasira mana hasira hukaa kichwn mwa mpumbav,.
2026-09-08 05:17:59
1
user5947904084472
user5947904084472 :
😂😂😂
2026-09-08 09:18:46
0
To see more videos from user @rollyfact123, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About