@madininews: Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Aggrey Mwanri, amesema mazungumzo yaliyofanywa na wadau kuhusu hali ya kisiasa nchini yameonyesha mwanga mkubwa juu ya maridhiano na utayari wa wadau katika kupata mwafaka mzuri. Amesema hayo leo Septemba 7, katika Mkutano wa Kitaifa wa Wadau Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini uliofanyika Serena Hotel, Ujiji Dar es Salaam. Akieleza kuwa wakati anafika kwenye mkutano alipatwa na wasiwasi akidhani kuwa wadau wangekosoa CCM, vidole vikielekezwa kwa CCM ndiyo sababu lakini mawazo yalikuwa tofauti. “Wakati nakuja nilikuwa na kahofu kidogo nikafikiria kwamba watarusha mawe CCM bana, chama tawala bana, hii shida yote tunayopata ni CCM bana, tulikuwa na Mzee Wasira nikamwambia kama mood yenyewe ni hii unaweza kuwa na uhakika kuwa tuko tayari,” amesema Mwanri.
MADINI TV
Region: TZ
Monday 07 September 2026 19:03:06 GMT
Music
Download
Comments
Angelo :
Kiburi cha utawala kitalizika taifa
2026-09-08 09:14:54
3
matanga :
Kwa NN usije raisi wetu
2026-09-10 13:03:33
0
wote mmetukela hatuna imani na nyinyi maccm
2026-09-08 16:23:03
1
isaya samson :
maigizo
2026-09-09 14:17:29
0
sukums :
watu hawataki ukwelii
2026-09-08 20:05:27
0
Happy Lema :
hakuna cha ilani sisi hatukupiga kura
2026-09-08 19:36:23
1
dembele :
hata sielew nin kinaongeleka
2026-09-09 10:44:28
0
husein bob :
Sasa mnataka kuongea na nani?
2026-09-08 20:48:26
0
sirikhale :
we vipi
2026-09-08 04:44:09
0
mborhoo :
Waliona wakina nani au waltak wenyew
2026-09-08 18:31:26
0
masounyombe :
kama kweli mnaifikilia tz tusogeleeni wananchi na mtusikilize
2026-09-08 04:15:56
1
Victoria Mwankotwa :
8🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-07 19:30:11
0
Ndaki :
siku moja hii nchi ikiwa na rais Genz ndio mtatuelewa nyie wazee
2026-09-08 19:58:04
0
@NyumbaBongo_TZ :
Ngoja ninyamaze ila kwa ufupi tu hawa wazee wanatiah Hasira mandugu😏
2026-09-08 19:10:36
0
yechu yechu💪💪🗣️🗣️ :
sukuma ndan
2026-09-08 18:51:08
0
Efra B-2 spirit bomber 🇺🇲 :
mazungumzo yanahusiana na nini mzee tumiq akili hii nchi nahitaji uwajibikaji,haki, uwazi sio hizo polojo.
2026-09-10 10:18:56
0
To see more videos from user @madininews, please go to the Tikwm
homepage.