sponsor has left him in traffic light and world bank job gone
2026-09-08 13:10:26
0
KTF803 :
This man should give up!!
2026-09-08 10:59:53
1
zebola :
ruto the beast
2026-09-08 15:48:28
0
user2888460328516janny :
team fatheee, tutam always
2026-09-08 10:01:03
0
lagat :
lkn Niko single ☺️☺️
2026-09-08 06:09:46
2
@5.6.7.8 :
Ruto Hana Kura, hutembea Na Hao watu Wa yellow everywhere
2026-09-08 07:57:06
2
@woman of power :
Sasa tunangojea sifuna n hiyo mioto yake juu gachagua hata yeye ako kugive up😂😂😂😂
2026-09-07 19:36:12
16
wanga :
Nikiwa Ruto nachukua Matiang kama Cs wa ICT nafukuze Kabogo.Ataongeza strength yake Kisii wacha tuone Sifuna kama atafika April next year
2026-09-08 06:55:07
3
shanni33 the writer :
unathani kushindana na ruto ni rahisi ujaona gachagua ashachukua leave na hatujaanza campaign 😂
2026-09-08 05:25:06
10
The Bald Eagle :
Enyewe siasa ni ngumu manze
2026-09-07 20:45:28
2
buzman shoes designer :
hahahah ni mbayaaaaaaaaaaaa 🔥
2026-09-08 04:10:37
1
Len :
😂😂ata rigy Ako kugive up ,alisema kina junet wakitoka ata Rudi kw kasongo meaning kasongo Ako sawa
2026-09-08 13:25:12
1
user9676735499076 :
😂😂😂😂😂😂😂 matiangi si mwanasiasa 😂
2026-09-08 05:39:06
1
rmakau :
Ame tense🤣🤣RUTO sio mchezo😁😁😄
2026-09-08 10:36:57
0
marylyn :
2026-09-07 20:47:58
0
Kevin Highlights 🇰🇪 :
hiyoooo😅
2026-09-08 12:28:04
0
The Classrep(kurian 2nd born) :
Kuna haka katrend ka George kanakuja 🤣🤣 sjui kama mmeskia 🤣
2026-09-08 14:50:07
0
Victor :
aliambiwa sponsor alifanya nin?😳
2026-09-08 11:51:23
0
T :
Ni kama🤣🤣🤣🤣
2026-09-08 09:25:49
0
user119881717273fridahstar3 :
2027 nikama hakutakua na opposition 🤣
2026-09-08 08:07:49
0
brico :
game ni 90 nangoja😂 Tu wengine pia wachoke 😂😂🤣🤣🤣 tutam roho safi
2026-09-08 11:42:24
0
marto :
ni bayaaa guys
2026-09-08 06:31:20
0
ngolokante :
pesa ,,politics ni pesa wewe unaona gachagua akitoka inje ya Nyeri kidogo anaenda America kuomba pesa,,hata sifuna kama sio uhuru angekuwa amesahulika,,bila pesa huwezi siasa yeyote not jst kenya everywhere and that's y. Ruto ako na clear win come 1027 juu ako nanpesa,,na ilujue campaign haijaanza bado,,bunge haijafungwa ,,ikifinga hivi watu kama gachagua watarnda kuishi London
2026-09-08 12:45:57
0
To see more videos from user @akinyiwaruto, please go to the Tikwm
homepage.