@peterkaayasamuel: Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akujalie baraka tele, afya njema, na mafanikio makubwa katika kila hatua ya maisha yako. Mungu akinijaalia na nikipata nafasi, nitakuja tena huko Juba kuwatembelea, na nina imani kubwa nitawakuta mkiwa salama na wenye furaha, wewe, shemeji, pamoja na watoto wote wazuri ambao Mungu amewabariki. HBD Erick #HappyBirthday #SikuYaKuzaliwa #HeriYaSikuYaKuzaliwa #BirthdayWishes #RafikiWaAmani
Makumbele
Region: TZ
Monday 07 September 2026 19:28:46 GMT
Music
Download
Comments
There are no more comments for this video.
To see more videos from user @peterkaayasamuel, please go to the Tikwm
homepage.