@zanzibarmpya1: Maziko ya Marehemu Hafidh Ameir Hassan, mwenza wa Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, yaliyofanyika leo Septemba 7, 2026, Kizimkazi Zanzibar. Maziko hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, viongozi wa dini pamoja na waumini wa dini ya Kiislamu. #fypシ゚viral #fyp #fypppppppppppppp #fypage #fypages

zanzibarmpya
zanzibarmpya
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 19:29:47 GMT
15430
1030
24
20

Music

Download

Comments

aziza.abdallah96
aziza Abdallah :
INNALILLAH WA INNALILLAH RAJOON mwenyezi MUNGU akupe kauli thabit
2026-09-08 03:24:35
9
mustafa_baalawiyy_21
MUSTWAFA ALLY MUSSA SAID :
https://vt.tiktok.com/ZSqrYuPtd/
2026-09-08 01:25:35
1
bayser_83.com
Bayser :
Allah ampe kaulithabith, pole ziende kwa ndugu na familia yake yote Mungu awatie subra katika kipindihichi kugumu
2026-09-08 06:49:47
2
ummy78101
ummy :
allah ampe kaul thabit
2026-09-08 03:30:28
4
user41581772969947
Daddy 🌹 :
Allah amjaalie Kauli thabit na amtilie nuru kwenye kabri lake
2026-09-07 22:16:38
8
omar.alhashmy5
عمر محمد الهاشمي :
كل نفس ذائقة الموت إن لله وإن إليه راجعون
2026-09-08 06:24:11
1
donald.mmbaga
donald mmbaga :
kwel maisha ya mwana damu ni mafupi kama nini mungu amrehemu mzeee wetu hishallhaa🥰
2026-09-08 06:56:49
1
rukiaaliy600
Rukia Aliy :
inalillah wainnah ilayh rajioun
2026-09-07 23:38:03
4
nelamchopra
NEELAM CHOPRA :
asikwambie mtu ukimuona raisi wako anaijua qurian
2026-09-08 04:09:09
0
zigz_30
خم٤٢ :
اللهم غفرله
2026-09-08 03:22:44
1
user6910694903981
Lily jemy💕🤩 :
Allah msamehe madhambi yk ya Siri na dhahiri🥺
2026-09-08 06:15:59
0
mariam.sappa
mariam sappa :
Inalillahi waina illahi rajiuni Allah ampe kauli thabiti
2026-09-08 06:31:45
0
halymer.mzonge
Halymer Mzonge :
innalillah wainnaillahin rajuuin
2026-09-08 06:58:44
0
ummy.habiba218
Ummy habiba :
amiiiin
2026-09-08 01:22:09
2
kijana191
ZEE LA CHABO.🧐 :
Inalilah wa inalilah lajuhun Mwenyezi mungu ampe kauri thabiti sote njia yetu ni moja kwa allah[Pray]
2026-09-08 05:19:12
0
mustafa_baalawiyy_21
MUSTWAFA ALLY MUSSA SAID :
allah ampe kauli thabiti
2026-09-08 01:26:50
3
user6910694903981
Lily jemy💕🤩 :
mashallah viongozi wetu wanaijua we Quran
2026-09-08 06:14:54
0
mustafa_baalawiyy_21
MUSTWAFA ALLY MUSSA SAID :
innalilahi
2026-09-08 01:26:12
2
mwanaomar27
Mwana omar :
Watanzania tumekuwa yatima😭 Allah ampe kauli thabit baba etu
2026-09-08 07:18:29
0
user5508444857154
omar ame :
Allah ampe kauli thabit inshallah
2026-09-08 07:17:53
0
salumhaji0001
Salum Haji :
💯🥰🥰🥰🌹🙏🙏
2026-09-07 19:40:29
1
seleman.haroun
Ngiwa🕊 🅰 :
🥰🥰🥰
2026-09-08 05:28:53
0
To see more videos from user @zanzibarmpya1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About