@nenolakweli: Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako. Kumbukumbu la Torati 22:5 #EAGT @Mch. Abiud Misholi
ndokitu nilikuwa nataka kizungumziwe safi sana baba
2026-09-08 08:51:17
2
Sura sio roho01 :
Aaamina
2026-09-08 09:26:53
2
Esau Anord :
Amina sana
2026-09-08 14:58:20
1
vision :
barikiwa sanaaa sanaaa
2026-09-08 05:50:16
3
user4214285339735 :
Mungu akubariki
2026-09-08 08:36:34
3
Denis Akili :
MUNGU akubariki kwa ujumbe
2026-09-08 08:12:21
2
Rebeka jestor :
Mungu akubariki m2mish wa Mungu
2026-09-08 06:58:20
3
Elisha Thomas :
sawa kabisa Mungu akubariki mtumishi nimejifunza kitu
2026-09-08 10:30:50
1
MZIWANDA 2026🎤 :
MUNGU akubariki sana Babaangu ❤️❤️
2026-09-08 07:34:52
2
Febby Kamboy :
Amen amen
2026-09-08 05:53:03
2
Denis Akili :
Mungu akutiye nguvu baba
2026-09-08 08:11:46
2
john masaba :
amen
2026-09-08 08:18:29
2
pendobaraka@ :
Amen
2026-09-08 06:17:35
2
ESTHER KATUNZI :
amen
2026-09-08 07:13:36
1
Queen masiza :
mungu atusaidie sana sisi wamama😭💯🙏
2026-09-08 09:49:38
2
prof, Fredrick@🧏♂️ :
Anazungumza ukwel sanaa God bless you kwa kuzungumz ukwel maan niwa chache wanaosema ukwel kam huo,Ameen
2026-09-08 09:14:48
4
Magreth William :
AMENI MTUMISHI WA MUNGU
2026-09-08 05:10:24
1
Saimon Kiula :
amina baba karibu Tena igunga
2026-09-07 19:56:25
1
YESU.NI.MKUU, :
amina karibu dodoma uje ufanye mkutano
2026-09-08 07:42:11
1
Evangelist, Billybranss :
🔥 ROHO ya Uwinjilisti iko kwako pia, ndio maana unajenga ujumbe mzito kama huu.
> Hekima, maarifa na busara ni kama upumbavu mbele za Mungu. Paulo anasema wazi - 1 Corinthians 1:25, "Upumbavu wa Mungu una hekima kuliko hekima ya wanadamu."
2026-09-08 16:55:14
1
To see more videos from user @nenolakweli, please go to the Tikwm
homepage.