Siamin :Tayari Tumeshakuwa Watoto Wa Single Maza.😂😂😂
2026-09-08 04:25:52
34
Mama Munira :
songi zuli sana linaitwaje
2026-09-08 05:05:03
12
naahislam16 :
kawimbo kazur ngoja niingie Google
2026-09-08 03:20:07
15
Mpamaa :
pls ndg zangu hizi sio tamaduni zetu,huyu alie fariki ni baba yetu,ni mwalimu wetu,ni jirani,ni mlezi na ni mtz kama mm na ww, kwann tunaitendea hivi hii familia? napia tukumbuke,tuna jidharirisha kwenye Jamii ya kimataifa na sunia.
2026-09-07 21:38:49
20
isaaczephania :
mi nimependa hiyo nyimbo☺️🤣🤣🤣
2026-09-07 22:14:38
24
Ndombolo :
Hawajielewi hawa wanaotuma hivi vitu lait kama wangekuwa wanajua wasingefanya hivi na Allah anawaona ole wao
2026-09-08 07:53:34
1
Dorin mnywiga :
jina la wimbo tafadhali😂😂😂
2026-09-08 04:20:36
6
Daddy's Daughter :
jamn kila nikiscrol nakutana na hizi mambo za uhaini em nitoke online kuitwa central pale hakuna wakuniletea uji🙌
2026-09-08 06:24:39
3
neema :
acheni kupoteza watu nyie,hii video ya siku nyingi
2026-09-08 05:25:03
2
prisca marwa🥰 :
Me hio nyimbo tu hayo mengine mtajua wenyewe
2026-09-08 07:59:34
1
POIZON MASTER :
kaimba nani
2026-09-07 22:10:36
3
user41424178877490 :
dunia tunapita musihukumu
2026-09-08 02:27:17
1
ASHA MOHAMED :
waooooooooooo
2026-09-07 21:33:25
0
KIBUTA BRAND CITY (KBC) :
ila Genz 😂😂😂🙌🙌🙌
2026-09-07 21:37:18
10
Qauthary 💋💝 :
Astaghafirullah
Yule marehemu kawakosea nn jmn😳😳""" Mbona nimeogopa
2026-09-08 08:06:26
0
samwelioltwati2 :
Shikamoo Tz 😁
2026-09-07 23:49:41
4
innocentndikuriyo :
mushanza wimbo
2026-09-07 21:26:08
5
abilius06 :
duuuh pamoja na hayo aisee, kifo kinaumiza sana hebu tuache hii mambo, tukumbuke kafiwa na mume wake ko tuchukue maumivu na machungu anapitia tuyavae kama yakwetu,
2026-09-08 05:12:01
0
Precious Naah :
jina jina lanyimbo
2026-09-08 03:46:48
4
user1720457850734 :
dah tujfunze kuish nawatu
2026-09-08 05:08:42
2
Miriyam :
Astafirullah
2026-09-08 04:58:22
1
Mpamaa :
Tuache huu utovu wa adabu pls
2026-09-07 21:39:09
3
kidoti :
na nyimbo mmeshatunga jmn!!😅😅😅
2026-09-07 22:01:18
4
To see more videos from user @tanzania_kwanzatz, please go to the Tikwm
homepage.