@hamasikatv: Mtu anayeamini kufanikiwa ni bahati atakua na safari ndefu sana ya mafanikio - @evamrema01 Video ndefu tayari ipo youtube bonyeza link kwenye bio au search Hamasika Tv kutazama full interview #hamasikatv #hamasikapodcast #badilishamchezo
Fanya kazi sana Kwa Dunia ya Leo hufanikiwi ila work smart plus right people at a right time
2026-09-08 19:17:40
0
Amady bakari :
fact point Iko ivyo
2026-09-08 05:59:44
0
Agree saint Kayange :
fact next please
2026-09-08 08:14:25
0
MasuwoodDesign :
MATRIX MINDSET
2026-09-08 08:46:21
0
Sijali mwampashe :
asante
2026-09-08 09:41:26
0
Msafiri Mnemba :
shukuru mungu wewehapoulipo usijisifu watuwanahaslasana dada bahatiipo
2026-09-08 11:10:45
2
Ngonifaceless channel :
Mhubiri 9:11
Tena, nimeona kitu kimoja hapa duniani, kwamba wenye mbio hawafaulu katika riadha, wala wenye nguvu hawashindi vita; wenye busara hawapati chakula, wenye akili hawatajiriki, wala wenye ujuzi hawapandi vyeo; lakini wakati wa bahati huwapata wote pamoja. DADA BAHATI IPO WATU WANAJITUMA SANA TU
2026-09-08 02:26:02
5
thelesia augustino :
hapo kwenye juhudi mi ninazo lakini mafanikio hakuna
2026-09-08 07:10:28
3
Mr Mon tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
shida ni hawa watu mungu alo Tupa kuna MDA ridhiki wanafunga
2026-09-08 18:24:56
2
Eddo :
Mimi ninachoamini ni kwamba: Neema ya Mungu_Juhudi/Bidii_Akili_Finally Mafanikio. Lakini kama kusipokuwepo neema ya Mungu basi hakuna mafanikio kamwe, Kama juhudi pekee na akili vinatosha kuleta mafanikio watu wengi tusingekuwa na hali ngumu tulizo nazo
2026-09-08 04:42:43
3
sj :
juhud Inakaribish bahati na bahat pia huja Kwa wakati that's why unakut watu ni hard worker lakin haja fanikiwa Kwa choch hapo ndip linakuj neno wakati wakati hukishafik hauto tumia nguvu nyiny kitafut paper
2026-09-08 04:52:23
0
pj_priscus00 :
MAfanikio ni bahati katikati ya juhudi,kuwa na mafanikio makubwa saana sio kwasababu ya jitihada peke ake,kuna watu wanafanya kazi saana na wana displine saana tofauti na mafanikio yao
2026-09-08 13:00:47
1
Audax Osward :
sio kweli atuko sawasawa yani Mimi niwe mesi
2026-09-08 09:22:04
1
user8583335496795 :
karama sio shule
2026-09-08 18:43:35
0
robartkateranya :
hata mm siamini kwenye bahatii
2026-09-08 21:41:28
0
Hezron Aidan :
mafanikio cyo juhudi dada yangu kama umebahatika kufanikiwa mshukuru2 mungu kuna watu wanapambana na wana marengo lkn bado mafanikio kwao ni zero
2026-09-08 19:30:33
0
hawa ally :
🥰
2026-09-08 19:29:43
0
lemamolelilemamoln :
nimekubali
2026-09-08 18:55:44
0
Bock Philipo :
sasa wote 2kiwa na bidii 2katajilika nani atae fanya kaz y mwenzie?
2026-09-07 23:10:46
1
Augustino Augustus :
Leo ulikuja maeneo ya tabata
2026-09-08 16:40:10
0
Clemence Mwambe :
Ahsante.hii ndyo elimu chungu, ambayo Dunia yatakiwa kupewa.
2026-09-08 21:21:38
0
Codez737 :
na ata hi ya kwako apa bado perception Yako tu juu ya mafanikio cy general conclusion
2026-09-08 18:44:18
0
Mama Ney :
nikweri kabisa
2026-09-08 18:01:20
0
Francine busomoke —🌸🎀 :
Amen Amen 🙏🙏
2026-09-08 22:46:20
0
Jonathan Daniel :
nakubali ilo
2026-09-08 18:35:35
0
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm
homepage.