@mwenenubinnassib: #fyyyp #politicaltiktok #Tanzaniatiktok #zanzibartiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

MWENENU_BINNASSIB
MWENENU_BINNASSIB
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 21:20:02 GMT
5981
212
82
25

Music

Download

Comments

njowelo6
Njowelo :
amendment ndo muhim kwa kpnd hiki
2026-09-08 06:12:40
1
halifa.saidi4
Halifa Saidi :
tatzo lilianza pale rais kujichagua na sio kuchaguliwa 😀
2026-09-08 07:35:35
2
impetus_8
impetus8 :
Aslay aliimba chuki zisizo sababuuu🥺
2026-09-08 05:45:53
5
user8350928105093
أبو فهمى :
naungana na wewe kwa 100%
2026-09-08 07:25:07
2
hammyommy22
hammyommy22 :
awo ni wabinafsi tu kaka
2026-09-08 04:32:37
4
sirluum2
sirluum :
na walipiga makofi ila alipo ingia samia wanataka katiba mpya🤣🤣🤣
2026-09-07 22:02:48
6
omarzahran7854
Yong 🕉 :
sijawah kumuelewa magufuli kwa upande wa zanzbar
2026-09-08 06:04:45
1
godfreykahere
KB2daar :
magufuli alisimamia constitutionalism maana unaweza Tunga izo Sheria zisitekelezwe maana ake haki zote alisimamia, kutoa msamaha Kwa wafungwa nk
2026-09-08 08:40:01
2
said.ishaq16
Said Ishaq :
Wananchi wakiwa na maisha mazuri kariba itajirrkebisha yenyewe kwa sababu billions za pesa zinatumika kwa watu wachache watu wengi hawana wanachokipata
2026-09-08 06:33:08
2
adammj268
Adam Mj :
Alitia kapuni akapigiwa makofi,mama wa watu kasema tujadili wanamtukana
2026-09-08 08:50:06
1
hansernest5
Hans Ernest :
wanao mpgia salut wana sababu zao tofaut alafu Magu alikuwa muwaz kwa kila kitu nazan serkal ingekuwa open tu inataka katiba au haitaki in short tu
2026-09-08 05:35:34
1
user3581036344943
chey :
namm nakuuliza alichokuwa anakifanya Magu kwa wananchi ndokinacho fanywa mpaka sasa?? fata matendo yam2 cyo maneno na kama vyote vinaendan bas haitokupa shida kuelewa
2026-09-08 08:22:28
1
ibu6107
ibu :
rais aloifaa nchi
2026-09-08 09:23:40
1
stevenmtenya
Steven Mtenya :
ww naona hukumuelewa magu , mugu hataki kuitisha bunge la katiba bali alitaka tuangalie wapi katiba imepwaya turekebishe badala ya kuitisha bunge lakatibu na kulipana pesa nyingi zawanachi hizo pesa tuzipeleke kwenye maendeleo ya wananchi, mfano Rais anapo fariki makamu wa rais asiwe rais moja kwa moja bali aongoze nchi siku 90 baada ya hapo uchaguzi ufanyike ili kumpata rais mpya kwa kupigiwi kura
2026-09-08 09:11:22
0
redmondbaby
Abuu mzenji :
Katiba
2026-09-08 03:53:48
1
muhan1322
MUHAN :
Shida ni kwamba kwa kutokuwa na msingi mzuri anaweza kutokea mmoja ambaye akawa tofsutu na JPM akafanya mambo yasiyofaa kwa watu kwa sababu kuna huo mwanya
2026-09-08 10:28:43
0
user433943233
John Z :
Mimi swali langu huwa ni Moja tu wale vigogo waliokuwa wanampinga Magufuli saiv wako wapi? au uongozi wa Samia ni Bora kuliko uongozi wa Magufuli? hii nchi inawanafiki wengi sana na Kuna wale wanaofuata upepo na kulishwa sumu
2026-09-08 08:29:49
2
jaamilarajab2
jaamilarajab :
nakukubali sana mwenenu
2026-09-07 22:36:53
1
user70313416810078
kahema42 :
apo chakubadilisha ni kufuta vyama vya siasa kibaki kimoja tuongee rugha mojaabaas
2026-09-08 09:22:28
1
aman.daniel335
Aman Daniel :
yeye alisema kweli kwenye kambeni hakuiweka kwenye kambeni
2026-09-08 10:57:33
1
jamaliz6
Jimmy-Tz :
💎 💯 🔥 🔥
2026-09-08 11:09:48
1
bunihu.maughu0
Bunyha Maughu :
Magu alipendwa kwa sababu alisimamia vizur nchi na katiba ikawa syo kitu chochote kipind chake ila samia amefeli ama amekosa talent na uzalendo ya kusimamia inchi ndio maana watu wengi wakakimbilia kwenye katiba
2026-09-08 10:34:30
0
samsonmasalu501
sam cm :
leo ndo umeongea sio yale ya tanganyika na zanzibar
2026-09-08 11:47:45
0
alimalaika76
mage :
kaka umeongea pwoent kabisa
2026-09-08 11:34:09
0
kibutabrandcity
KIBUTA BRAND CITY (KBC) :
Tunaitaka sisi Genz na vizazi vyetu
2026-09-08 08:40:29
0
To see more videos from user @mwenenubinnassib, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About