@baby.chimamy1: #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyppppppppppppppppppppppp #fypシ゚viral #fyp

Chima dede
Chima dede
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 22:39:16 GMT
54320
4073
345
684

Music

Download

Comments

user2552091462656
Ryham :
Wenye kazi yetu ya kuomba tujuane hapa😀
2026-09-08 08:22:43
313
aishamuh5
@aisha6 :
Me nimeamua nisajili lipa namba😆😆
2026-09-08 10:44:07
163
hassan.athumani8
Hassan Athumani :
khaa mahesabu yako kwenye pesa yangu 😂
2026-09-08 14:05:35
47
barbiechuchu14
SALMAH 😘 :
Ivi kwann unapenda kujiamulia lkn 😂😂
2026-09-08 07:28:39
34
mama.g5730
🦋 Janeth Izack❤️🦋 :
nimecheka asubuh iii jaman chima😂😂😂
2026-09-08 06:01:29
50
my.perusi
my perusi :
Mim nikiwa na shida na elf 10 naomba elf 15 ili akituma imekidhi mahitaji yangu😂😂
2026-09-08 19:20:34
15
iamrukia13
Da ruu :
Bola hata ww ukiomba unapewa iyo elf10 kuna mm sna hata wa kumuomba😌
2026-09-08 06:04:49
25
lynderangero
lynderangero :
Moja kwa moja status 🤣
2026-09-08 15:20:21
10
khally_muuza_simu
_khally :
USITOE😂
2026-09-09 09:46:35
2
user8304380457319
💛💛sweety ❤️❤️ :
🤣🤣🤣🤣c ushukur we umetumiwa me ni meomba ya enda mwenzi sasa na cjapewa
2026-09-08 05:22:02
5
samaki21_
🤎 :
Kazi za watu ziheshimiwe ✌🏽👌🏽
2026-09-08 13:00:54
5
anna.constantine6
OfficialNaah🧠💫 :
Moja kwa moja mpaka mjini status 🤣🤣🤣
2026-09-08 06:24:55
5
kasichana595
🌸Leez3🫦 :
Waambie kpnz😂
2026-09-08 10:26:02
0
estherasherly
Essie🎀 :
Mtanishtua
2026-09-07 22:52:30
0
akizaelyse2
AkizaElyse :
Sisi wengine kazi yetu ni kuomba 😁😁😁😁😁
2026-09-08 16:09:11
4
itsmonna55
itsmonna💕 :
Kazi yetu ni kuomba na kusema asante nimeiona🤣🤣🤣🤣
2026-09-08 11:22:50
1
ree.bby3
Mom Clara🥰 :
Kweli da chima inatukata bnh 🤣🤣🤣
2026-09-08 06:00:33
3
dionesia_blackbeauty
Dionisia G :
Bora wewe umetumiwa hyo elfin 10 kuna wenzio huku tukiomba mtu anapotea wiki 🤣🤣🤣
2026-09-09 13:21:20
1
lovelymathias1
Soul :
Omba Omba analeta ujuaji😅
2026-09-08 11:37:30
1
To see more videos from user @baby.chimamy1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About