@pastoryusuphmzopola: Unaweza kupewa kipaimara na bado DHAMBI zikakusumbua dawa mpate Yesu.

Mch. Yusuph Mzopola
Mch. Yusuph Mzopola
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 07 September 2026 22:49:11 GMT
3979
191
18
14

Music

Download

Comments

king.leader77
King leader :
hamna mchungaji hapo
2026-09-08 08:53:41
3
user21454609108557
Lainnah :
mambo haya nakanisani wapi nawapi
2026-09-08 03:50:37
4
yusuphmayunga245
Yusuph J Mayunga :
Hakuna injili hapa
2026-09-08 07:44:02
3
mwairwachrisant
Mwairwachriss :
motivation speaker
2026-09-08 04:11:28
0
elizabeth90262
elizabeth90 :
nawaomsikiliza nawenyewe hawana hakiri
2026-09-09 14:06:54
0
anjelo8492
Anjelo 80 :
Yupo sahihi kwa sehem
2026-09-08 14:32:53
0
user21454609108557
Lainnah :
jamani mbna nashindwa kwerewaaaaaaaa
2026-09-08 03:50:11
1
lukas.masud
Mwal Lukas masud :
Kuna kitu alikuwa namaanisha hapo Sema watu wame ikata hiyo niinjili hiyo nimifanotu ya kuhubilia, hamjasoma kuhusu mtume paulo alisema Kuna mahali alikuwa anaenda anajifanya kama wao kumbe ana nia yake kazi ya injili nikubwa sana ndiyo maana wainjilisti ww ngi niwajanja sana hapo ana tafuta point ya kuhubilia Sema wameikata tu
2026-09-08 10:16:24
0
bestina153
bestina :
muchangaji anae jua wito wake hawezi kuwa kama uyo
2026-09-09 15:12:26
0
leithserenge
LeithSerenge :
Mpira ni ajira, acha vita na watu hubiri injili, maneno yamguse mtu aokoe akiwa kwenye mpira sio kubeza. wachungaji wa siku hizi injili zenu sijui mnazitolea wapi
2026-09-09 11:28:44
0
papaa_777
papaa_777 :
iviuyu nimuhubili wanini
2026-09-09 20:46:39
0
jamesmtimbwa
James Mtimbwa :
KURA CHUMA HICHOOOO PAAAAAA😁
2026-09-08 07:39:43
0
sophia.mtaita
Sophia Mtaita :
😁😁😁😁
2026-09-10 08:36:44
0
To see more videos from user @pastoryusuphmzopola, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About