atununui izo sim haiwezekani sm inatengenezewa ndani alaf bei nikama ya nje bora nimuungishe mchina
2026-09-08 04:43:32
21
shazirsaid8 :
wanayosema itazima chaji n isiwake tena like hapa
2026-09-08 04:51:08
8
MANAGER BEKA :
camera
2026-09-08 11:19:11
0
amos elikana :
Yaan niache kununuwa Xiaom iliyotokea China nikanunuwe simu iliyotengenezwa Tanzania tena Mkulanga!!!?, 😂
2026-09-08 09:11:13
3
Abdul :
wazee Mnazitengeneza TANZANIA au mna assembly TANZANIA mbona tuuziwe bei sawa na za Kutoka uchina
2026-09-08 02:57:19
5
engineer :
bro tunamsiba ujue
2026-09-08 08:49:15
1
It's TIM :
Kwanini mnauza bei sawa na zikitoka nje sasa au kuna ushuru pia kama bandarini au airport
2026-09-08 09:18:49
3
daxte01 brand 🤩 :
wabadilishe jina bhana, sasa nani anunue raddy akae nayo ndani🤣😂
2026-09-08 06:23:02
3
MACKMUGA :
Radi Tena ukijumlisha na ELNINO 😂😂😂😂 Unapata nn
2026-09-08 08:13:48
2
duly :
sitaki nifie ndani we uogopi simu inaitwa radi😂😂
2026-09-08 08:41:32
2
JAT.LIMITED special CEO :
yan ninunue simu imetengenezwa mkuranga wakati wao waliotengeneza wanatumia samsung ya mkorea
2026-09-09 04:05:44
0
MONTANA OG :
kwanza eti bei ile ile afu simu imetengenezwa humu humu Tanzania mtanunua nyie wenyewe me bora ninunue Infinix
2026-09-08 05:09:53
1
Pc&Computer expert :
imagine simu zinagaiwa bure😂
2026-09-09 01:36:49
0
Chris Da silva :
@Chris Da silva:simu ni processors je mnatumia processor gani itakayo nifanya niache tutumia spapdrago 8+ au krilin. na mediatek dimenssion 750+0(3mm)?
2026-09-08 10:51:41
1
YASSIN :
ikiwaka amna watu wanashikana mikono kweli ?
2026-09-09 04:04:21
0
Moo Sudi :
hata hii video itakua imerekodiwa na rady
2026-09-09 04:09:14
0
khanny wizzy :
mhhhh!!! hii cm ya Tz week mbili itaanza kujiamulia mamb 😂😂
2026-09-08 22:06:52
0
chibulover :
ikitoka ya mvua ntakuwa nishapata pesa ya kununua
2026-09-08 21:46:51
0
PHYNO :
kwahiy saa tuna nanunua kamela sio sim kama kamela ndio zuli ila vingine sio vizuri eti bos
2026-09-09 02:25:02
0
To see more videos from user @raddymobile, please go to the Tikwm
homepage.