@uhondo.tv: Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Matiko Chacha, amesimulia kisa cha mwananchi aliyemtaja kwa jina la Sophia, ambaye alikuwa akimtumia ujumbe mfupi wa simu wa kumtongoza, licha ya kuonywa mara kadhaa kuacha kufanya hivyo. Chacha amesema mwanadada huyo aliendelea kumtumia ujumbe huo, hali iliyomlazimu kuchukua hatua kwa kulifikisha suala hilo kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora (RPC), hatua ambayo amesema ilimfanya Sophia kuacha kabisa kumtumia ujumbe. Amesema kabla ya kufikia hatua ya kutoa taarifa kwa RPC, alitumia njia mbalimbali za kumfikia mwanadada huyo kupitia wajumbe waliokwenda kumuonya na kumtaka kuacha kumtumia ujumbe wa aina hiyo, lakini juhudi hizo hazikuzaa matunda. Chacha amesimulia kisa hicho Septemba 7, 2026, wakati wa hafla ya makabidhiano ya ofisi kati yake na Mkuu wa Mkoa mpya wa Tabora, Beno Malisa. Katika hafla hiyo, Chacha amekabidhi rasmi majukumu ya uongozi wa Mkoa wa Tabora kwa Mkuu wa Mkoa mpya, Beno Malisa. #UhondoTVUPDATES

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 08 September 2026 02:53:31 GMT
294087
10569
1896
1692

Music

Download

Comments

winfridajonath
Winnie :
wangapi tuko na Sophia😅
2026-09-08 06:23:09
752
user5685020477624
@Lakred :
huyu sophia apewe cheo serikalini
2026-09-08 10:03:40
537
glorck1
glorck🦋 :
Mkuu umewaangusha wanaume sanaa
2026-09-08 09:41:14
694
annah.machera
Annah Machera :
sophia mitano tena😂😂😂
2026-09-08 10:33:45
256
nee_store_tz
nee_store_tz :
Jmn sasa mtu asieleze hisia zake😂😂😂
2026-09-08 04:31:02
348
jethro9416
jethro :
alichokiona sophia nami nimeanza kukiona
2026-09-08 07:37:48
177
miss.vee876
#Vee.allen@ :
hii nchi hamna stress jamn nimecheka daaah😅😅🙌
2026-09-08 18:29:14
3
culthy.babby1
miss😍 :
mwnye namba ya makamu wa raisi naomba nijaribu bahati yangu😁😅
2026-09-08 10:04:27
161
happyp441
Queen 👑👑👑 :
yes Sophia is good girl
2026-09-08 20:05:44
0
shey_vipodozi
Shey_vipodozi :
mkuuu wa mkoa anautoto mwing [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-08 09:22:03
49
cutewise22
Cutewise22🤍🌸 :
Sophia we are proud of you📌❤️
2026-09-08 11:39:49
74
bn84304
@bn :
sisterhood we are proud of you Sophie😁😁
2026-09-08 14:33:15
2
somebodydaughter30
somebody daughter :
jamani mwenye namba ya kikwete plz
2026-09-08 08:52:54
125
fide.dee
fide dee :
freedom of expression
2026-09-08 18:17:02
2
official._chazivin
official._chazivin :
free sophia
2026-09-08 21:05:35
3
emmandoss2
NZEGA FINEST DRIVER 🚚 :
ungeleta na unao watongoza tuwajue
2026-09-08 12:47:59
43
sophylionjo
Sophy🦋 :
Kwaiyo umeamua kunidhalilisha sasa ndo sikuachii🤣🤣🤣
2026-09-08 12:29:11
99
onesix0167beautysaloon
Onesix🌹🦋 :
Kwann usimblock kama hutak hizo mambo
2026-09-08 14:03:50
78
missjannet4
Miss Jannet :
Kwaio Nasisi tungekua tukitongozwa tunatangaza hadharan ingekuaje
2026-09-08 10:29:29
101
kennyfinetz5
kenny fine tz5 :
YANINI TUFICHE UMETUANGUSHA BHANA
2026-09-08 11:53:30
38
beauty.gril4
pretty 😍 ester :
awa ndo mabint tunaowataka Tanzania ya uhuru🥰🥰🥰🥰
2026-09-08 10:52:02
36
carren.tz
carren Tz❤️❤️🥰🥰 :
mkuu wa mkoa tuta kufuatilia😂
2026-09-08 10:11:46
37
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About