@frankmavura: SIRI ZA KISAIKOLOJIA KUHUSU MWEZI ULIOZALIWA! 🧠✨ Je, uliwahi kujiuliza kama mwezi uliozaliwa unaweza kuhusishwa na tabia, hisia au namna unavyofikiri? 👀 Kwenye video hii tunaangalia baadhi ya mada na tafiti za saikolojia zinazohusishwa na mwezi wa kuzaliwa, tabia na utu wa mtu. 🔎 Je, watu waliozaliwa mwezi mmoja wanaweza kuwa na tabia zinazofanana? 🧠 Mwezi wa kuzaliwa una uhusiano gani na personality? ❤️ Je, unaweza kuhusishwa na namna mtu anavyoshirikiana na wengine? 👀 Na wewe umeona tabia hizi kwa watu waliozaliwa mwezi wako? Tazama hadi mwisho, kisha comment mwezi uliozaliwa na utuambie kama maelezo yanafanana na wewe! 🔥 #sirizakisaikolojia #psychologyfacts #tiktokindia #swahilitiktok #frankmavura